Mapenzi ya siku hizi wizi mtupu.

Mapenzi ya siku hizi wizi mtupu.

Brother na sister mfano wew uko dar na mpenzi wako iko mkoani ...siku ukisikia anakwambia eti Leo najihisi kuchokachoka nitalala mapema.. juwa usiku huo atakuwa machinjioni ...

Sent using Jamii Forums mobile app
Acha hizoo wewe hiyo sio sababu,ikiwa wewe ndio tabia yako basi utahukumu woote kutokana na ukionacho
 
Kwahiyo wadada wa mikoani wanaachia sn nyapu
 
Kizuri kula na nduguyo.
Ili Wakati Unakula Ukapaliwa Ndugu Yako Atakusaidia Kukupiga Mgongoni Chakula Kishuke Vizuri Kooni. Kwasasa Wivu Hauna Nafasi (Zero Tolerance)😄😆😂🎺🎻🥁📯
 
Ili Wakati Unakula Ukapaliwa Ndugu Yako Atakusaidia Kukupiga Mgongoni Chakula Kishuke Vizuri Kooni. Kwasasa Wivu Hauna Nafasi (Zero Tolerance)[emoji1][emoji38][emoji23][emoji448][emoji447][emoji1623][emoji397]
Wivu ni ujinga.
 
Back
Top Bottom