Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

ACHA UMBEA NENDA KAFANYE KAZI WEWEEE 🥴🥴🥴🥴🥴🥴🥴🥴🤮
0 Reactions
42 Replies
8K Views
ACHA UMBEA NENDA KAFANYE KAZI WEWEEE 🥴🥴🥴🥴🥴🥴🥴🥴🤮
1 Reactions
208 Replies
28K Views
Mpaka sasa, nikiondoa wanawake wa level za sekondar,, tukahesabia wachuo mpaka hapa nilipo, nmelala na wanawake zaidi ya mia ,niseme kama mia nasitin nakitu ivi. Kwaufupi ndugu zangu. wanawake...
3 Reactions
99 Replies
9K Views
Heri ya mwaka mpya nyote humu. Baada ya kuwa single takribani mwaka mzima 2018, katika kuingia mwaka 2019, sitaki kuwa single tena hivyo nimeona ni heri nitafute mchumba ambaye baadae atakuwa...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Watafiti na Wataalam wa mambo ya Saikolojia wamesema ya kwamba kama Wapendanao wawili wamefunga Ndoa yao halafu ndani ya Miezi 17 na Siku 26 Sura zao hazifanani ( yaani ya mmoja inaelekea Kusini...
2 Reactions
38 Replies
3K Views
Habari, Mada hii ni maalum kwa wanawake na kama wao ndiyo wahusika wakuu naomba watusaidie kuelezea kwa uwazi zaidi haya maswali hapa chini. 1. Kwanini malezi yamekuwa magumu sana kipindi hiki...
21 Reactions
181 Replies
17K Views
Habari za saa hizi. Kwanza kabisa nikiri kuwa nishawahi kuja humu kutafuta kimwana ila ndo hivo mambo hayakuwa sawa. Kwanza kabisa nikiri kuwa nilipata kimwana ila hakuwa serious kabisaaa...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
ACHA UMBEA NENDA KAFANYE KAZI WEWEEE 🥴🥴🥴🥴🥴🥴🥴🥴🤮
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kuna siku huku nilikuja kuomba ushauri nifanye nn baada ya kublockiwa na mtu niliyekuwa naye kwenye mapenz! Wengi walinishaur usimtafte nam sikumtafta tena! Sas juzi usiku baada y kupita wki moja...
1 Reactions
12 Replies
3K Views
Wadau habarini za mchana. Kuna tabia nimeigundua upande wa wadada. Nako ni ugumu wa kusema "Hapana nipo na Mtu ninampenda" unakuta mdada anakwambia anakupenda kweli lakini anaendekeza...
7 Reactions
69 Replies
7K Views
' Virusi ' vyenyewe hatari na vinavyoongoza kwa ' Kuachanisha ' Ndoa za Wapendao ( Watu ) ni hivi: 1. Mzazi wa Kike ( Mama yake Binti anayeolewa )......65% 2. Dada / Ndugu wa jinsia ya Kike ya...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Uswahili sasa ndo Kuna watoto wazuri kishenzi ila wamejificha.ukitaka kuwaona na kuwapata we njoo katika minada husika utajionea nachokwambia.Ratiba yenyewe hii hapa nimeikariri na Nina uzoefu wa...
7 Reactions
44 Replies
11K Views
Leo tunatongozana kwa lafudhi ya kilugha inavutia sana .Mchague member yeyote umpe mtongozo kwa lafudhi ya lugha yeyote. Demiss navutiwa na mitongozo hii. 1.MSUKUMA "Unajuaga Demiss moyo wangu...
14 Reactions
344 Replies
23K Views
Wadau wa JF za jioni. Nafikiri it's safe kusema kwamba kibuti ndo nishapigwa, japo cha kimya kimya, nimejiongeza kusoma alama za nyakati, na ukizingatia mzigo ndo alishachukua mhh sina jipya tena...
16 Reactions
244 Replies
28K Views
Wanajamvi naombeni ushauri nasaha hapa.....kuna tatizo lolote la kibiolojia kama mwanaume akioa mwanamke aliyemzidi umri?? Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
21 Replies
2K Views
Ndugu yangu mmoja ambaye amepata kuhudu katika bank kwa miaka karibu 10 hivi nilikiwa napiga naye stori za hapa na pale. Katika mazungumzo yetu mimi nilichombeza kwamba kiukweli binafsi natamani...
2 Reactions
22 Replies
3K Views
.....Mko Busy kutumia Maperfume ya Aina mbalimbali as well as mafuta makali makali. Ili kukata Shombo Ya PAPUCHA. ...DAH hapa Ndo Mnafell Sisi wadau Tunaipenda Sana Hii shombo, Msiikate...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Katika kupitia pitia masuala ya ndoa mitandaoni nikakutana na hii kwamba ndoa kati ya mwanaume mrefu na mwanamke mfupi hua ndio ndoa zenye furaha zaidi na kua bora. Binafsi sijui kama ni kweli au...
1 Reactions
34 Replies
9K Views
Moja ya jaribu kubwa kwa mtu aliyeamini kumpenda Mungu ni pamoja na kuacha uzinzi mbali na uovu mwingine wote; ila changamoto inakuja ni vichocheo vya mwili vipo juu sana; mfano mimi siwezi kukaa...
5 Reactions
219 Replies
16K Views
Hello Jf family Niruhusu nijikite kwenye hoja ya msingi. Mimi ni mme wa mke mmoja. Ninaishi mkoa X ambao si asili yangu ila ndipo ilipo asili ya mke wangu. Kwa mkutadha huo, interaction ya...
8 Reactions
46 Replies
5K Views
Back
Top Bottom