natafuta marafiki moshi/arusha

Mparee2

JF-Expert Member
Sep 2, 2012
2,585
4,270
Nahitaji marafiki wa kike na kiume wenye vision ya kusonga mbele na maisha
Umri kuanzia mika 30 hadi miaka 45 hivi
wasiwe walevi
Preferebly wawe Arusha au Moshi
Aliyeko tayari pm tuone kama kuna mawazo tunaweza kushirikiana na kusonga mbele
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom