Charliemic
JF-Expert Member
- Feb 17, 2019
- 604
- 979
Ningekuwa mwanamke nisingekubali kuolewa na hawa wanaume wanaovalia suruali zilizowabana vilivyo huku zikiwa chini ya makalio. wanatembea wakiwa wametanua miguu.
Nisingewakubali hawa wanaume ambao wanatoka na mijimama eti wanalelewa, hawataki kufanya kazi wanaendekeza kulelewa.
Nisingewakubali wanaume wanaotegemea kipande cha Mihogo mibichi, na kipande cha nazi la sivyo hawafui dafu kwenye 6*6.
Wanaume wanaoishi Kwa chips mayai daily.
Wasiotaka kujifunza kwa wazee ambao wanachukua vibinti vibichi na kuvigegeda saana tu.
Ningechukua muda kuwaelimisha wafanye kazi waache kujilegeza, watafute fedha na kuacha kufikiria kulelewa