alumn
JF-Expert Member
- Jul 15, 2018
- 2,369
- 3,178
Heri ya siku ya Leo ndugu zangu.
Jumapili ya Leo imekua ya baraka kwangu, nikiri mimi na dhambi sasa basi hasa uzinzi nimefuta namba zote za waliokua wazinzi wenzangu na sasa naanza na bwana..Eeeeh Mungu wangu uniongoze
Nakaribisha marafiki tujengeke kiroho kwa kuacha mambo ya mwili. Asanteni