Kipi kina nafuu kidogo kati ya kuchapiwa na ndugu yako au uchapiwe na usiye mjua na kama akashika mimba bora usingiziwe ya ndugu yako au usiyemjua.

Good Mood

Member
Sep 12, 2018
55
150
Kuna kisa kilitokea mtaani kwetu apa kati ya ndugu wawili walionifanya nilete huu uzi, kaka ambaye ndo mwenye mke na mdogo mtu aliyemchapia kaka yake
Kwa mujibu wa mdogo mtu anadai baada ya kaka yake kuhamishiwa mkoani kikazi ilipita kama miez miwil iv akaanza kuona shemej mazoea kama yameanza kuzid na mitego ya hapa na pale akawa anapotezea kwa sababu aliona akiruhusu ushawishi utawale ubongo watagombana na ndugu yake shemeji akijaribu hil anapotezea mda mwingine akawa hata alali tena nyumban anajichanganya tuu kwa masela siku zinaenda japo mwanzo aliingia mjin alifikia ghetto kaka ake akaona kajenga nyumba kubwa nyumba vipo haitapendeza dogo afikie ghetto akamwita waishi wote.
Shida ikazidi kwa shemeji mtu kwa kuwa kaona mdogo mtu hana interest nae akaanzisha shobo na jirani yao ambaye kila akipita huwa anamsalimia sana na kaka yake ashamuonyaga mkewe ajiepushe nae na dogo anavyomjua yule jirani hachelew bila kuomba mzigo, kwa kuwa dogo ni mtu wa watu akasikia jamaa akihadithia kwamba keshachukua namba na kaomba mzigo ila manzi(shemeji ake) anakomalia kama jamaa ataweza kutunza siri jamaa asijue.
Kwa mujibu wa dogo akawa njia panda atulie jamaa ale mzigo, amwambie kaka ila akahofia kuvuruga aman huku hana ushahid au aongee na shemeji ila akajiuliza anzie wap ikabid dogo awe achez tena mbal na nyumban
Siku hiyo hiyo shemej akamwambia kuna mtu anamjua anaumwa umwa ila akisema asubir daktar anaeza akafa au akawa kilema bora ajaribu kupona kwa mganga wa kienyej kwa kuwa shem alikua kwenye mtego na hali halisi aliielewa akaelewa a namaanisha nn bc shem akasogea kochi alilokaa kawaida alikua akisogea dogo anahama lkn dogo akavunga huku kule huku kule dogo uvumilivu ukamshinda akaona sio mbaya kwa leo maana akiacha akitoka arud mzima.
Dogo akadai kama vile alifanya mchezo wa kuonja asal iliyo mbal na nyuki mchezo ukadumu ikabid amuulize shem kuhusu yule jamaa shema kamwambia achana nae na jamaa akakatiwa hewan ila dogo akawa na waswas wa kufumaniwa akiwa anayawaza hayo hamad dada yake alikuja kwa siku kadhaa ila akasoma kama kuna mchezo unaendekea kwa sir kwa kuwa hakuwa na ushahid akamtonya kaka ake aliye mkoan achunguze brother akaeka mitego yake kwel akanasa baada tifu kubwa na zito dogo alisimulia ilivyokua na kesi iko baraza la usuluhishi baada ya vikao vya familia kuto kufua dafu.
Story hii nimewaibia tuu kidogo ila lengu kuu la uzii huu ni kipi bora kuchapiwa na ndugu au mtu usiyemjua na kama ilatokea mimba ukasingiziwa bora usingiziwe ya ndgu yako au ya mtu usiyemjua
Hebu tiririken na huu uzi tujuzane hisia zenu zimesimamia wap katika hili

Sent using Jamii Forums mobile app
 

tozi25

JF-Expert Member
Aug 29, 2015
6,041
2,000
Ndio maana husema siku nitakayo owa sikaribishi ndugu wa kiume bila ya mwenyewe kuwepo. Kuna ndugu na waganga wa kienyeji, mara hujifanya kuwatoa mapepo shemegi zao.


Ndukiiiii 🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
 

zipompa

JF-Expert Member
Aug 19, 2014
6,572
2,000
naona unataka kumtetea dogo kwa kisingizio cha mimba, na mimba inaingia vp ikiwa mie sipo lazima ntajua ai yangu tu

bora kuchapiwa na mtu baki maana mdg mtu n mwanzo wa kuvunja undugu kama ivo
 

Nyalotsi

JF-Expert Member
Jul 20, 2011
6,450
2,000
Zamani waliokuwa wanachepuka na kuzaa na wake za watu Ni wadogo mtu, binamu, kaka nk.
Hata watoto wakizaliwa Ni ukoo ule ule.
Wanafanana.
Huyo dada mtu ndio mpumbavu kwa kuchonganisha familia

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom