Hii ina maana gani kwa mwanamke?

mzee wa kasumba

JF-Expert Member
Nov 26, 2018
1,432
2,892
Habari za asubuhi.

Leo nimeamka na hii jamani.

Rafiki yangu ana mke wake. Wao wana mtoto mdogo Kama wa mwaka mmoja hivi. Hapo awali walikuwa wanatumia sindano za uzazi wa mpango,,, lakini kutokana na usalama wa afya ya mama inatakiwa sindano zikishafika 3 ubadilishe njia nyingine ya uzazi.

Sasa jamaa alimzoesha mke wake kwenda nae hospitali kila wanapokwenda kuchoma sindano.

Kwa Sasa jamaa majukumu yamem bana, anashindwa kwenda na MKE wake kubadili uzazi wa mpango.

Sasa Basi
Mke anaogopa (hataki) kwenda mwenyewe, na anamwambia jamaa hapa hupati PENZI (papuchi) mpaka upate muda twende hospitali kuweka kipandikizi.

Maswali kwa wadau
1. Ni sawa mwanamke kumuwekea biti mume wake Kama hivo??

2. Jamaa afanye Nini? Ameniomba ushauri.

Kwakuwa nami kichwa maji nikaona niulete humu kwa wajuzi zaidi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hivi madhara ya hayo madude wanayajua? moja ninalojua mimi yanachangia sana uvimbe tumboni kwa akina mama, hivi kati ya wanawake 10 huwezi kosa wawili watatu wanauvimbe, mbona wazee wetu zamani hawakutumia hivyo vitu na wakazaa kwa mpangilio? binafsi sikubaliani na mpango wa uzazi.

Duuuh

Dah..pole sana mkuu kwa yaliyokukuta kwenye familia yako mpaka unazuga eti jamaa amekuomba uje uulize humu.!
..nikuulize kitu mkuu kwani hapo nyumbani hamna House girl?
Kama yupo anza kujipoza kwa huyo House girl wanasaidiaga sana hao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hivi madhara ya hayo madude wanayajua? moja ninalojua mimi yanachangia sana uvimbe tumboni kwa akina mama, hivi kati ya wanawake 10 huwezi kosa wawili watatu wanauvimbe, mbona wazee wetu zamani hawakutumia hivyo vitu na wakazaa kwa mpangilio? binafsi sikubaliani na mpango wa uzazi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu hapo kwenye red,hao wazee wetu zamani walitumia njia gani kupanga uzazi? funguka mkuu watu wajifunze.
 
Back
Top Bottom