Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Kaka na dada ambao wamezaliwa kwa baba zao ambao ni ndugu ,baba mkubwa na mdogo,nafahamu baadhi ya mila ni kosa kubwa lakini je kidini ikooje? Nipeni ufahamu WanaJF
1 Reactions
87 Replies
7K Views
Waku wiki iliyopita nilikua bize na harakati mtandao Kuna application 1 unachat online na watoto wazuri wazuri. Kwa bahati Mbaya sijui utaratibu wa kufika uholanzi cha Ajabu binti kajibu.. "if...
0 Reactions
82 Replies
11K Views
Jina langu ni common sana hasa hapa TZ kiasi kwamba class moja munaweza kujikuta wenye jina hilo mpo watano au sehemu yoyote kwenye mkusanyiko wa watu mkawa zaidi ya wawili hali kama hiyo...
1 Reactions
33 Replies
4K Views
Nimewahi kuwapenda wanawake kadhaa, Mmoja sikuwahi kuwa nae, wa pili nilikuwa nae ila hakunipa time nadhani hakunipa time kwa sababu sina pesa! Wa tatu alinipenda na akanipa time,nimekuwa naye kwa...
7 Reactions
114 Replies
8K Views
Msomaji mmoja wa safu hii aliniandikia hivi majuzi akidai mwanae hamsikilizi. Kwa mujibu wa mzazi huyu, pamoja na kufanya jitihada za kumwelekeza mwanae mambo muhimu ya kimaisha, bado kijana wake...
4 Reactions
3 Replies
2K Views
Hello guys Nime-observe male & female interaction nyingi, nimegundua kitu kimoja.. 1) Mwanamke atafanya ngono, kama hana kitu kingine cha kufanya, au kama anahitaji kupata pesa kutoka kwa...
17 Reactions
110 Replies
14K Views
Kuna wale ambao wanapostiana sana kwenye mitandao ya kijamii kama Instagram, FB, WhatsApp na kwingineko. Mapenzi kama haya mengi ni ya kiki ukifuatilia kwa umakini utagundua. Utakuta mchizi muda...
4 Reactions
59 Replies
7K Views
Kuna Demu nilikuwa namtongoza Mara kwa Mara na Mara zote akawa ananiambia Mimi kuwa na yeye ni ndoto ambayo kamwe haitakuja kutumia! Mzee mzima sikukata tamaa kila nilipopata time nilikuwa...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Wakuu, mnapoulizwa hilo na Maadvocates ex wenu huwa mnawajibuje ?
0 Reactions
17 Replies
4K Views
Kama mada inavyojieleza, Miezi kadhaa iliyopita nlikutana na mdada ambae ni mrembo kweli kweli, nikamtia vocal kanisumbua sumbua mwisho wa siku akanikubali. Nikawa na hamu kweli kweli ya kula...
9 Reactions
181 Replies
26K Views
Kuna Mlinzi mmoja wa Rais hapa Barani Afrika ( Jina la hiyo nchi nimeisahau ila nikiikumbuka nitaitaja ) nimemuona na Yeye ' akimuigiza ' Bosi wake ( namaanisha Rais ) alipokuwa Kanisani ambapo...
1 Reactions
2 Replies
915 Views
Habari gani wakuu? Natumai wote mu wazima. I ain't your mama ndio kichwa cha uzi huu hapa. Ni hivi, nimekuwa na mahusiano ya kimapenzi na mdada mmoja hivi kwa zaidi ya mwaka na mambo yamekua...
9 Reactions
186 Replies
18K Views
Girlfriend/Boyfriend wengine ni kama bangi unampenda lakini huwezi kumpeleka Kwa mzazi wako. Je ulishawahi kuwa na aina hii ya Girlfriend/Boyfriend? Zero IQ
3 Reactions
19 Replies
4K Views
Salaam wana jamvi!! Naomba nikiri kutokua mwenyeji sana kwenye forum, ila ninakataaluma kadogo ka saikolojia lakini ni mtu niliyewahi pitia kwenye mahusiano hadi leo nina mke na mtoto. Nirudi...
1 Reactions
3 Replies
6K Views
Wadau nmegundua asilimia ya wanawake 80 hawapendi kabisa kutumia tube, soksi au condom. Hawapendi. Mimi nmekuwa nikigombana nao sana kuanzia ma EX wangu na hata wanaokuja patikana wapya. Yaani...
1 Reactions
10 Replies
4K Views
Licha ya kuwa na Mpenzi mmoja ambae ni main ,kuwa mkweli hapa unamiliki wapenzi wangapi? Binafsi Licha ya kuwa na Yule pain killer Nina wapenzi wangu kadhaa mpaka sasa wakupasha kiporo idadi ni...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Wakuu JF, Kwanza kabisa, nampa pole Boss Ruge na nimuombe awe na uvumilivu kwa sababu akianza kumfuatilia huyo Zam itazidi kumuumiza sana, huu ni upepo tu na haya yote yatapita na kusahaulika...
24 Reactions
89 Replies
18K Views
Salaam wana jamvi!! Naomba nikiri kutokua mwenyeji sana kwenye forum, ila ninakataaluma kadogo ka saikolojia lakini ni mtu niliyewahi pitia kwenye mahusiano hadi leo nina mke na mtoto. Nirudi...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
NAOMBA KUULIZA WATU WANAFANYA UMALAYA ILI WAGUNDUE LADHA MBALIMBALI AU? NA KAMA NI LADHA JE,WATU WANATOFAUTIANA LADHA?
0 Reactions
0 Replies
1K Views
L, kila nikikukumbuka moyo wangu unakosa amani. Wewe ulikuwa mwanamke mwenye roho ya kuvumilia mengi, Nilikuchukulia simple sana nkakufanyia kila aina ya maudhi. Kila nilipoanzisha mada yenye...
2 Reactions
73 Replies
7K Views
Back
Top Bottom