Matendo/Vitu gani vya kumfanyia mwanamke ili ajue kwamba haumpendi

Zero IQ

JF-Expert Member
Dec 21, 2016
12,666
2,000
Matendo/vitu gani vya kumfanyia mwanamke ili ajue kwamba haumpendi?

Yawe simple tu siyo ya kumpa maumivu mpaka ajute kuwa na wewe mfano (kumuonyesha unamsaliti)

Nataka nijue Yale ya kisaikolojia zaidi(Psychological punishments. )

Kama Huduma zote apewe Na kila anachokihitaji ila tu moyoni mwake ajue kwamba unampa tu Kwa sababu ila from the bottom huna hisia nae wala humpendi.
Zero IQ
 
Witmak255

JF-Expert Member
Feb 5, 2019
3,268
2,000
Matendo/vitu gani vya kumfanyia mwanamke ili ajue kwamba haumpendi?

Yawe simple tu siyo ya kumpa maumivu mpaka ajute kuwa na wewe mfano (kumuonyesha unamsaliti)

Nataka nijue Yale ya kisaikolojia zaidi.

Kama Huduma zote apewe Na kila anachokihitaji ila tu moyoni mwake ajue kwamba unampa tu Kwa sababu ila from the bottom huna hisia nae wala humpendi.
Zero IQ
Mkuu hivi hizi thread zako unazitoaga wapi?
 
ArchAngel

JF-Expert Member
Oct 11, 2015
4,461
2,000
1. Akipiga simu iache iite mpaka ikatike.

2. Akipiga tena rudia (1) kisha mpigie baada ya masaa 3 kabla hajapokea kata simu.

3. Mjibu kiufupifupi yani short and clear kwa mfano "poa" "fresh tu" "barida"

4. Usimjulie hali asubuhi akiamka na wala usimtakie "goodnight"

5. Akituma message whatsapp soma kisha toka online bila kujibu.

6. Akilazimisha kuongea na wewe mwambie uko busy utamcheki baadae. Ndo imetoka hiyo.

5. Rudia 1-6

MHUBIRI 4:13 SUV

"Heri kijana maskini mwenye hekima Kuliko mfalme mzee mpumbavu. ambaye hajui tena kupokea maonyo."
 
Zero IQ

JF-Expert Member
Dec 21, 2016
12,666
2,000
Zero IQ

Yaani uko naye na umtese bila sababu?
Hizo tunaziita Psychological punishments.Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu siyo kwamba simpendi Nampenda tena sana ila nataka nijicontrol unajua hawa viumbe wakijua kwamba unawapenda ni shida hakuna Rangi hutaacha ona Na ndio maana huduma zote nataka apewe lakini ajue kwamba hapendwi ila Siri niwe naijua mwenyewe kwamba nampenda Kwa kiasi gani

Zero IQ
 
Zero IQ

JF-Expert Member
Dec 21, 2016
12,666
2,000
The hardest thing you'll ever have to do is seeing the one you love, loving someone else......hii Inaumiza Sana! Kumbuka

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu siyo kwamba simpendi Nampenda tena sana ila nataka nijicontrol unajua hawa viumbe wakijua kwamba unawapenda ni shida hakuna Rangi hutaacha ona Na ndio maana huduma zote nataka apewe lakini ajue kwamba hapendwi ila Siri niwe naijua mwenyewe kwamba nampenda Kwa kiasi gani

Zero IQ
 
Hawachi

JF-Expert Member
Nov 25, 2018
12,040
2,000
Matendo/vitu gani vya kumfanyia mwanamke ili ajue kwamba haumpendi?

Yawe simple tu siyo ya kumpa maumivu mpaka ajute kuwa na wewe mfano (kumuonyesha unamsaliti)

Nataka nijue Yale ya kisaikolojia zaidi(Psychological punishments. )

Kama Huduma zote apewe Na kila anachokihitaji ila tu moyoni mwake ajue kwamba unampa tu Kwa sababu ila from the bottom huna hisia nae wala humpendi.
Zero IQ
Kwa nini umfanyie vitendo mwambie live Sikupendi.
 
Zero IQ

JF-Expert Member
Dec 21, 2016
12,666
2,000
Kwa nini umfanyie vitendo mwambie live Sikupendi.
Mkuu siyo kwamba simpendi Nampenda tena sana ila nataka nijicontrol unajua hawa viumbe wakijua kwamba unawapenda ni shida hakuna Rangi hutaacha ona Na ndio maana huduma zote nataka apewe lakini ajue kwamba hapendwi ila Siri niwe naijua mwenyewe kwamba nampenda Kwa kiasi gani

Zero IQ
 
Snipes

JF-Expert Member
Jul 2, 2013
8,618
2,000
1. Akipiga simu iache iite mpaka ikatike.

2. Akipiga tena rudia (1) kisha mpigie baada ya masaa 3 kabla hajapokea kata simu.

3. Mjibu kiufupifupi yani short and clear kwa mfano "poa" "fresh tu" "barida"

4. Usimjulie hali asubuhi akiamka na wala usimtakie "goodnight"

5. Akituma message whatsapp soma kisha toka online bila kujibu.

6. Akilazimisha kuongea na wewe mwambie uko busy utamcheki baadae. Ndo imetoka hiyo.

5. Rudia 1-6

MHUBIRI 4:13 SUV

"Heri kijana maskini mwenye hekima Kuliko mfalme mzee mpumbavu. ambaye hajui tena kupokea maonyo."
haya yote uliyaandika me nayaweka katika maneno matatu tu

time
attention
careless
 
Hawachi

JF-Expert Member
Nov 25, 2018
12,040
2,000
Mkuu siyo kwamba simpendi Nampenda tena sana ila nataka nijicontrol unajua hawa viumbe wakijua kwamba unawapenda ni shida hakuna Rangi hutaacha ona Na ndio maana huduma zote nataka apewe lakini ajue kwamba hapendwi ila Siri niwe naijua mwenyewe kwamba nampenda Kwa kiasi gani

Zero IQ
Hapo unapo taka kumuaminisha kwamba humpendi yeye ataamini matokeo yake Usaliti unaanzia hapo kifupi Mapenzi hayana kanuni.
 
Elli Mshana

Verified Member
Mar 17, 2008
40,187
2,000
Mpende, Hakikisha huumizi moyo wake, Mpende Kama ni hardworking, with vision, basi Mpende atakuvusha kwenye mengi, trust me!
Mkuu siyo kwamba simpendi Nampenda tena sana ila nataka nijicontrol unajua hawa viumbe wakijua kwamba unawapenda ni shida hakuna Rangi hutaacha ona Na ndio maana huduma zote nataka apewe lakini ajue kwamba hapendwi ila Siri niwe naijua mwenyewe kwamba nampenda Kwa kiasi gani

Zero IQ

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Zero IQ

JF-Expert Member
Dec 21, 2016
12,666
2,000
Hapo unapo taka kumuaminisha kwamba humpendi yeye ataamini matokeo yake Usaliti unaanzia hapo kifupi Mapenzi hayana kanuni.
Sawa akisaliti haitoniumiza sana Kwa sababu moyo wangu nilishaundaa kuact Kwa kutompenda kuliko anisaliti ningali moyo wote nimeundaa kisaikolojia kwamba unampenda Sijui kama umenielewa

Note;
Hawa viumbe usipowaonyesha kama unawapenda wenyewe ndio wanakupenda ili wakutengenezee mazingira ya kukuteka uwapende

Zero IQ
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom