Mpenzi wa rafiki yangu, mpenzi wangu wa kwanza

BabaMorgan

JF-Expert Member
Dec 18, 2017
1,365
2,000
Ni moja kati ya washkaji wangu wa karibu nilimchukulia kama brother na mshauri sababu alinizidi umri. Kutembea na mpenzi wake haikuwa kwa bahati mbaya, nilimjua huyu Dada kupitia yeye kazi aliyoifanya ni kama middleman aliyewakutanisha buyer na seller. Alikuwa kama Dada shemeji maana hata yeye alinizidi umri tulianza kuwa na ukaribu uliopitiliza japo alikuwa ni shemeji nikajikuta naanza kumpenda na yeye akawa ananipenda huku mshikaji alikuwa hajui kinachoendelea nakumbuka masaa machache kabla ya kutunukiwa kuna maneno shemeji aliongea yaliyonifanya niamini kuwa yeye ndio soul mate wangu. Nilimuuliza kwa nini unamcheat mpenzi wako na Mimi na sio mtu mwingine aliniambia ni kwa sababu nakupenda wewe napenda unavyoongea, napenda unavyonitreat, na akaniambia anatamani azae mtoto anayefanana na Mimi. Mwisho wa siku jamaa alikuja kujua baada ya miezi mitatu kupita toka walipoachana so haikuwa ishu kubwa.
 
tibe_j

JF-Expert Member
Feb 12, 2015
444
1,000

Wewe ni k......(kikaza).

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom