Kuwa tajiri rahisi sana.

Kuwa tajiri rahisi sana.

Kama ingekuwa hivyo nadhani idad ya maskini ingepungua. Binafsi si tajiri ni katikati.. ila nikwambie njia ya kufika mafanikio.. si rahis unavyodhan. It takes hard determination na uvumiliv wa kiwango ch lami
Kwanza inahitajika mtaji hata kama mdogo
Pili kufanya kazi kwa bidii
Tatu uvumilivu.kubali kukua kidogo kidogo.mafanikio hayaji kwa siku moja
Wanawake tunaweza !

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mada nzuri,ila uvumilivu ndio changamoto,unaweza ukawa uko zaidi ya miaka 20 kwenye uvumilivu lakini utajiri bado kuonekana.
 
Familia zetu hizi za kiafrika ndizo zina tuangusha tegemezi kila mtu anakuangalia wewe utapata Maendeleo vipi
 
Back
Top Bottom