Dada zangu Msiige kila kitu vingine ni Vimeambatana Laana!

imhotep

JF-Expert Member
Oct 13, 2012
47,646
73,031
Tatoo sio Mbaya haswa ikiwa na Usanii ambao lengo lake ni kuongeza Mvuto na urembo.

Lakini kuna Maamuzi mengine ya kuiga Vitu vya Ajabu kabisa mwishowe unakuja juta na Kusaga Meno.

Tatoo kama hii ya Medusa kwenye sehemu nyeti,,lazima itanifanya hata hamu iniishie kabisaa labda nitoke nikanywe konyagi ndogo.

Tatoo ambazo ni Romantic ndio zinafaa sio Miungu ya Kishetani
Ya Wayunani wa Kale

2.jpg
 
Lakini kila mtu yupo huru na mwili wake. Ukiona mtu hamuwezani unampotezea tu.

Maisha yangu ya kimahusiano ni rahisi kwa sababu naweza kumpotezea mtu papo kwa hapo haijalishi km nakupenda au nn ukishafanya kitu ambacho sipendezewi nacho najikataa tu.
 
Hahahahahaaa!Neno... "help...heeeeelp"...litatawala viunga vya nyumba ya kulala wageni aisee!
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Na yeye ndio WHAT! THA F*CK IS GOING ON DOWN THERE!!!!!
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Na yeye ndio WHAT! THA F*CK IS GOING ON DOWN THERE!!!!!
Hahahahaaa! Ndipo huyo mmiliki wa tattoo anajibu..."nothing sir!The big boy is only doing some pouting"...!
 
"Siye kila aniitaye Bwana Bwana atauona ufalme wa mbinguni" & "Wakati mwingine shetani hujigeuza kuwa malaika wa nuru"

So hakikisha unajikita katika Biblia Takatifu wala si maisha ya Mtu, maana kila mtu ataubeba msalaba wa dhambi zake mwenyewe akijitetea katika siku ya hukumu kuu mbele za Mungu.
Kuna Tatoo za Kidini huko Ethiopia waumini wanajichora Misalaba kwenye Paji la Uso.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom