Moses the prophet
Member
- Feb 23, 2019
- 47
- 29
Buzitata halichunwi hata kwa limbwata la kitanga
Asante sana mkuu,jina lako hilo ni LA watu wa lake zone?Mungu Akusimamie katika hali unayoipitia kwa sasa.
Dah aisee mkuu pole Sana Kwa changamoto za kimaisha nakuombea hitaji lako litimie Mungu akusaidie ila apo kwenye swala la cheti embu ondoa tafuta kitu kingine maana hicho kitu so cha kukiachia ovyo ovyo
Nna uhakika mpk apo ulipojieleza Kama Kuna wakukusaidia atakusaidia tu
Pole sana ukikosa humu nenda kanisan utachangiwa ukikosa kanisan we nenda direct magogoni eleza shida yako rais wetu ni rais wa watu pesa kitu gani bhana atakusaidia
Usikate tamaa tia maguu ikulu
We huna shida unaogopa camera??
Mtafute mwalimu hapo chuo akusaidie..ukipata wanne kila mmoja akikuazima 50 tayari una laki2