Haingii kwenye Guinness World Records kweli? embu mpiganie aingie
Kapata dogo dogoBaada ya miaka 62 ya ndoa wanaachana wakiwa 80+ si kheri wamalizie maisha yao pamoja.
Jamaa ana akili sana huyu. Binafsi hata nikiudhiwa na watu baki hasira zote namaliza kwa husband
I can imagine may be she was a good cook, he let her do all his washing and ironing while ignoring any conversation. Men are from VenusJamaa ana akili sana huyu. Binafsi hata nikiudhiwa na watu baki hasira zote namaliza kwa husband
Women are from Mars, ndio kuishi kwa AKILI huko.Men are from Venus
Fala sana huyu jamaa ahahahahahahaha kuna watu hawataki ujinga 62yrs hahahahaha
ujue najiuliza kuna zile mtu anakukera unamtukana kwa kujua hakusikii.jamaa alikuwa anahimili vp hili