Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

mimi ndimi comrade, ndani ya usiku mneneee! thread hii inakujia kwa udhamini mkubwa wa galaxy s8+,. eebanaaee! wanaume tunapitiaga kipindi kigumu sanaaaa, unaweza ukakiita KIPINDI CHA MPITO...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Mshindi wa miss kagera yupo kwenye picha. Ametokea wilaya ya muleba . Kazi kwenu mabaharia
1 Reactions
43 Replies
8K Views
Alisikika mwanaume mmoja Kule moshi mjini...je wanaume haya maneno ni kweli
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Kwanza na mshukuru Mungu kwa rehema na baraka mbali mbali anazonijalia katika maisha yangu kila iitwapo leo. Wana-MMU ninakuja kwenu nikihitaji ushauri juu ya hili suala, kiukweli maisha ya...
2 Reactions
185 Replies
18K Views
Mwanamke ameumbwa kuongozwa na mwanaume katika kila kitu. Sasa pesa ndio kiungo muhimu cha maendeleo na uleta amani katika nyumba. Hivyo hakikisha mwanamke anakuwa na kipato kidogo kuliko wewe...
2 Reactions
5 Replies
2K Views
Kibinadamu tumeumbwa na wivu fulani hasa linapokuja suala la mapenzi Katika hali ambayo si ya kawaida kabisa kuna jamii Fulani kanda ya ziwa huwa wana wivu kiduchu sana kwa waume au kwa wake zao...
5 Reactions
32 Replies
4K Views
Habari zenu wapenzi wa MMU.. Niko kwenye mahusiano na mdada mmoja hivi takribani mwaka mmoja,tunapendana sana na tumeshavunja amri ya 6 kama wapenzi wenye malengo.Mimi na huyu mpenzi wangu...
1 Reactions
37 Replies
4K Views
Mimi ndimi Comrade Kipepe. a.k.a JUNGLE MASTER! Mbele ya upeo wa macho yako. Ebbaanaaaee! Offssaaaa! Kwa wanaume tumekua tukiona na kusikia kuhusu VIBAMIA, Leo Nipo upande wa pili kwa hawa...
0 Reactions
56 Replies
39K Views
Mbele ya mboni za macho yenu ndugu watazamajii! Mfanyabiasha mkubwa na mwanasaikolojia KIPEPE, Nipo hapa kutafuta mtoto mkaliiiiiiii!!! Ebbanaaaa! Uwe mkali aseeee! Maana komredi ni Kijana...
2 Reactions
66 Replies
8K Views
Hapo vip!! Nimejaribu kuangalia katika watoto wa wafamilia moja, huwa wivu huinuka kwa watoto wanaopendwa kwa kiasi na Baba dhidi ya wale watoto wanaopendwa Sana na baba. Hii tofauti na upendo wa...
0 Reactions
26 Replies
5K Views
Haya sasa jana mwanaume kutoka senegal aliyetuwakilisha vyema wanaume wa mkoani aka Diatta. Wanaume wa dar tunatoa mazoezi ya kuwa na sura za kazi kama Diatta ni bure kabisa sio mnakuwa na sura...
1 Reactions
7 Replies
3K Views
Guys Please Listen. Trust should be earned not demanded,If you want your partner to trust you, you will have to earn it by your words and especially with your actions. Don't assume trust exists...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Ndugu zanguni nipo kwenye kipindi kigumu sana naomba msaada wa maombi. (Haihusiani na mada hii) Twende Kwenye Maada. Yapata Miaka Mitano ilopita, baada ya kuona Maisha Bongo yamekaza, Ninja...
1 Reactions
66 Replies
8K Views
"Siku zote Kumnyanyasa na kumpotezea Mpenzi wako ni kumfundisha kuishi bila ya wewe. Baadhi ya watu wanafikiri kwamba kuwafanyia hvyo wapenzi wao ni kuwakomoa. Wasichojua ni kwamba kadiri muda...
6 Reactions
19 Replies
2K Views
Maisha mafupi ila usimsahau Mungu
3 Reactions
103 Replies
15K Views
Always give your husband his rightful position of leadership in your life & know that submission doesn't make you any inferior or a rag. It makes you a virtuous & wise woman you were born to be...
5 Reactions
16 Replies
1K Views
Baada ya kupiga kazi ya kusaka mkate nikaenda 900 (usishangae ni bar inaitwa 900 itapendeza kama msemo wa Dr. Shika) ndo bar kubwa hapa Kibondo nikapiga bia kadhaa sasa naamka nakuta kuna bonge la...
1 Reactions
22 Replies
4K Views
Hamna mtu anaependa kuwa Single. Kuwa single sio kwamba mtu hujui kupenda. Sababu kubwa ni kuchoka kujitoa kwa mtu halafu mwishoni unapata maumivu. . Inachoka kuamini na kupenda sana mtu na...
5 Reactions
31 Replies
5K Views
Habari za asubuhi ya jumapili wadau, Kisa kipo hivii, Ilikua mwaka 2015 nilisafiri kwenda mkoa wa Arusha wilaya ya Loliondo kutafuta riziki, huko nikakutana na mdada mzuri saaana mweupe kaenda...
6 Reactions
233 Replies
18K Views
Back
Top Bottom