Nahisi nategwa sababu sijui lengo lake

Nahisi nategwa sababu sijui lengo lake

chinekeeee

JF-Expert Member
Joined
Mar 26, 2015
Posts
1,787
Reaction score
2,897
Habari za usiku wakuu

Poleni na majukumu na mihangaiko ya kila siku.Nina jambo linanisumbua na kuniweka njia panda na sijui lengo hasa la huyu mama nini hasa kisa chenyewe ni hivi

Terehe moja mwezi huu nilipokea pesa kwenye namba yangu ya tgopesa kiasi cha tsh 100,000 kwa namba nisiyo ifahamu nikasubiri kwa muda wa siku tatu nikijua mwenye atapiga au itachukuliwa na tigo wenywe lakini haikuwa hvyo nikaamua kumpigia ndipo akapoke MAMA mmoja .

Akaanza kunisifia kuwa mimi ni mwaminifu na kuna binadamu wachache kama mimi so akaniambia ni baki na ile hela na mambo mengine kibao nilikataa kabisa na kumrudishia ile hela lakn cha kushangaza juzi katuma tena laki mbili na kasema itanisaidia

Sasa nashindwa kuelewa ni mtego au ana lengo gani na mimi

Nawasalisha


Chinekeeee
 
Salio lako jipya ni TSh 211,131. Umepokea TSh 200,000 kutoka kwa 2557132982 - HELLEN SELEMANI, kumbukumbu no.PP.160906.1962.O. 06/09/


Nimefuta baadhi ya namba
dah basi mwambie akutumie ingine na umjue ki undan
 
Back
Top Bottom