Napenda wanawake kupita kiasi

12 Marook

JF-Expert Member
Oct 31, 2018
434
500
Habari zenu wanajukwaa, natumai mmu wazima

Wanajukwaa, bali ya kuwa domo zege na mwanachama mstaafu wa CHAPUTA nimegunduwa ya kuwa nawapenda wanawake vibaya mto yaani hakuna yakuelezea ilo sometimes hua nahisi kama ni pepo ao labda ndio kuwa rijali sijuwi maana siwezi nikapishana na mwanamke bila kumtizama alicho barikiwa.
Je wanajamvi ndio u rijali uyo ama ni laana ao pepo?#Proud to be a domo zege

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mgugu

JF-Expert Member
Jul 1, 2015
2,154
2,000
Hakuna mwanaume asiependa wanawake, hio ni hali ya kawaida kwa wanaume wote muhimu ni kushindana na matamanio ya nafasi yako yasikupeleke kwenye maangamivu tu.

Maendeleo hayana chama
 
coscated

JF-Expert Member
Nov 17, 2010
2,747
2,000
Hujaacha tu u domo zege?
Habari zenu wanajukwaa, natumai mmu wazima

Wanajukwaa, bali ya kuwa domo zege na mwanachama mstaafu wa CHAPUTA nimegunduwa ya kuwa nawapenda wanawake vibaya mto yaani hakuna yakuelezea ilo sometimes hua nahisi kama ni pepo ao labda ndio kuwa rijali sijuwi maana siwezi nikapishana na mwanamke bila kumtizama alicho barikiwa.
Je wanajamvi ndio u rijali uyo ama ni laana ao pepo?#Proud to be a domo zege

Sent using Jamii Forums mobile app
Namna ya kuacha u domo zege - JamiiForums

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ushimen

JF-Expert Member
Oct 24, 2012
26,760
2,000
Ukitaka kujua kama binadamu ananguvu, ebu sukuma mlango wa chooni akiwemo ndani...tehteehh
 
Shombe la Kisomali

JF-Expert Member
Jun 5, 2017
4,397
2,000
Naona analazimisha nae auonekane kaweka Uzi humu,
Sio lazima wote tuweke nyuzi humu, wengine muwe wachangiaji tyu..
Haya mambo mtuachie sie akina Shombe la Kisomali wajuzi wa kusuka nyuzi humu ndani...
Hahahahaaaa
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar threads

Top Bottom