I'm Confused, Niolewe ama niendelee kumsubiri?

Fahimat

Member
Joined
Feb 6, 2019
Posts
27
Reaction score
29
Salaam wakuu, moja kwa moja kwenye mada, naomba msaada wa kimawazo juu ya hili nalopitia wana jamvi wenzangu. Mm ni msichana miaka 23, nimekuwa kwenye mahusiano kwa muda wa miaka miwili sasa, (Boyfriend & Girlfriend, kwa maana kwamba sio mahusiano rasmi). Kiukweli nampenda sana huyu mkaka, ananipenda pia anavosema. Lakini tatizo linakuja kwenye Commitment. Mwenzangu anatamani mtoto kabla ya ndoa na mm nataka tupite njia za halali Nusra (Ndoa) kwanza ndo mengine yafuate. Wamekuja vijana watatu kwetu kuniposa sikuwakubalia nikiamini ninae wangu ambae ndo yeye, habari hizo anazijua lakini bado hakutilia maanani,

Sababu ya kutaka ushauri ni kwamba amejitokeza kijana mwingine mwenye nia ya kunioa, nilivompa taarifa kwamba nmeamua nakubali kuolewa kwasabb ya yeye kutonionesha ushirikiano, ananilaumu kwamba nimechukua maamuzi kwaharaka kwanini nisimvumilie. Kiukweli I'm confused, naomba ushauri nimkatae na huyu ili niendelee kumsubiria Boyfriend au ni Move on? Karibuni.

NB: New ID for a Reason. Please don't doubt.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi nakushauri baada ya ushauri wote utakaopewa hapa, mwisho angalia moyo wako unataka nini!
Kuolewa na mtu kwa sababu ametaka kukuoa siyo suluhisho, jee moyo wako upo tayari kuolewa naye?
Au kwa sababu ana nia ya kukuoa?

The Hate U Give, Little Infants F's Everyone.
 
Chelewa Chelewa Utanikosa.
Hapo Unangoja Kupachikwa Mimba Uachwe Unalialia. Serikali Ilikuwa Na Mipango Mingi Haikuisha
Siasa Ni Kilimo, Kilimo Kwanza, Mkukuta, Mkurabita.

Fanya Uamuzi Haraka Sana, Pia Unaonekana Una Tamaa Kidogo. Acha Nadharia Kwenye Maisha
Maisha Halisi Huwa Ni Vitendo
 
Mimi nakushauri baada ya ushauri wote utakaopewa hapa, mwisho angalia moyo wako unataka nini!
Kuolewa na mtu kwa sababu ametaka kukuoa siyo suluhisho, jee moyo wako upo tayari kuolewa naye?
Au kwa sababu ana nia ya kukuoa?

The Hate U Give, Little Infants F's Everyone.
Yeye ana miaka 23 ana kimbilia kuolewa... mwambie kua wewe uli olewa na miaka 42

Sent using Jamii Forums mobile app
 
subiri, wewe bado ni msichana mdogo,

hakuna kitu kinachomput off mwanaume kama kumuonyesha unataka ndoa ama uko desperate na ndoa…

Ndoa ni fumbo kubwa, hao wanaotaka kukuposa unaweza ukute wanafanya hivyo sio kwa mapenzi kwako ila kwa sababu wameshaona 'udhaifu' wako ni ndoa….

...Sali utambue mume sahihi ,ikibidi shirikisha Rafiki zako,ndugu zako etc
 
Salaam wakuu, moja kwa moja kwenye mada, naomba msaada wa kimawazo juu ya hili nalopitia wana jamvi wenzangu. Mm ni msichana miaka 23, nimekuwa kwenye mahusiano kwa muda wa miaka miwili sasa, (Boyfriend & Girlfriend, kwa maana kwamba sio mahusiano rasmi). Kiukweli nampenda sana huyu mkaka, ananipenda pia anavosema. Lakini tatizo linakuja kwenye Commitment. Mwenzangu anatamani mtoto kabla ya ndoa na mm nataka tupite njia za halali Nusra (Ndoa) kwanza ndo mengine yafuate. Wamekuja vijana watatu kwetu kuniposa sikuwakubalia nikiamini ninae wangu ambae ndo yeye, habari hizo anazijua lakini bado hakutilia maanani,

Sababu ya kutaka ushauri ni kwamba amejitokeza kijana mwingine mwenye nia ya kunioa, nilivompa taarifa kwamba nmeamua nakubali kuolewa kwasabb ya yeye kutonionesha ushirikiano, ananilaumu kwamba nimechukua maamuzi kwaharaka kwanini nisimvumilie. Kiukweli I'm confused, naomba ushauri nimkatae na huyu ili niendelee kumsubiria Boyfriend au ni Move on? Karibuni.

NB: New ID for a Reason. Please don't doubt.

Sent using Jamii Forums mobile app
Dada usifuate hisia zako tumia akili yako olewa huyo anakupotezea muda na usisubutu kumzalia anaonesha ana haja ya mtoto lakini si mke unajua tena kuitwa baba watu wanaona fashion

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi nakushauri baada ya ushauri wote utakaopewa hapa, mwisho angalia moyo wako unataka nini!
Kuolewa na mtu kwa sababu ametaka kukuoa siyo suluhisho, jee moyo wako upo tayari kuolewa naye?
Au kwa sababu ana nia ya kukuoa?

The Hate U Give, Little Infants F's Everyone.
Miaka 23 mpaka 25, 26 ndo mda wamadoido na maringo!!! akiendelea kuwa selective kuna mda utafikia ataanza kujisemea yeyote atayekuja sawa kikubwa maisha!!!
 
Salaam wakuu, moja kwa moja kwenye mada, naomba msaada wa kimawazo juu ya hili nalopitia wana jamvi wenzangu. Mm ni msichana miaka 23, nimekuwa kwenye mahusiano kwa muda wa miaka miwili sasa, (Boyfriend & Girlfriend, kwa maana kwamba sio mahusiano rasmi). Kiukweli nampenda sana huyu mkaka, ananipenda pia anavosema. Lakini tatizo linakuja kwenye Commitment. Mwenzangu anatamani mtoto kabla ya ndoa na mm nataka tupite njia za halali Nusra (Ndoa) kwanza ndo mengine yafuate. Wamekuja vijana watatu kwetu kuniposa sikuwakubalia nikiamini ninae wangu ambae ndo yeye, habari hizo anazijua lakini bado hakutilia maanani,

Sababu ya kutaka ushauri ni kwamba amejitokeza kijana mwingine mwenye nia ya kunioa, nilivompa taarifa kwamba nmeamua nakubali kuolewa kwasabb ya yeye kutonionesha ushirikiano, ananilaumu kwamba nimechukua maamuzi kwaharaka kwanini nisimvumilie. Kiukweli I'm confused, naomba ushauri nimkatae na huyu ili niendelee kumsubiria Boyfriend au ni Move on? Karibuni.

NB: New ID for a Reason. Please don't doubt.

Sent using Jamii Forums mobile app

Ur a terrible judge of character. U will end up being a single mother. He is a bad boy. U may wish to refer to him as an asshole
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom