Ikikutokea hii utafanya nini? Na kama imekutokea ulifanya nini?


successor

successor

JF-Expert Member
Joined
Oct 25, 2012
Messages
2,989
Likes
5,237
Points
280
successor

successor

JF-Expert Member
Joined Oct 25, 2012
2,989 5,237 280
Nilimtokea binti mmoja mzuri, akaniambia ana jamaa(Mpenzi) yake japo huyo jamaa alikua mbali kwa wakati huo. Nikakomaa nae akakubali kwa sharti kwamba hataachana na mpenzi wake huyo. Basi mtoto mzuri akaanza kunipa tunda. Mzee mzima nikanogewa, nikazama penzini, wakati mwanzo nilijiambia kuwa nitakula then nitasepa maana ana mtu wake kwahiyo ni hatari kwa afya kumuweka moyoni.

Ukapita muda miezi mingi tukiwa kwenye mahusiano. Umefika wakati nimejikuta nampenda na nashindwa kuukataa ukweli huu. Na sasa nataka awe wangu peke yangu, aachane na huyo jamaa mwingine. Maana siku hizi najikuta naumia anaponiambia yupo na jamaa yake kwahiyo nisimtext au kumpigia simu. Nakua najua kabisa kwamba saa hii mtoto mzuri analiwa, daaah!!

Nikaona hii hali siwezi kuishi nayo, nikaamua aidha nimteme aendelee na huyo jamaa yake au amteme huyo jamaa abaki na mimi, yaani niwe nakula mzigo peke yangu. Demu akakataa vyote, yaani hataki kuachana na mimi wala huyo jamaa, anasema hawezi kumwacha maana hana kosa lolote, kwahiyo hajui atamwambia nini ili amuelewe, kwahiyo nisubiri itokee sababu yoyote tu ili apate kisingizio cha kumtema.

Sasa hapa nasubiri, sijui ni mpaka lini. Nataka nile peke yangu, nimeingiwa na uchoyo.

Side niggas mpo??
 
mbalizi1

mbalizi1

JF-Expert Member
Joined
Dec 16, 2015
Messages
13,079
Likes
21,831
Points
280
mbalizi1

mbalizi1

JF-Expert Member
Joined Dec 16, 2015
13,079 21,831 280
Unapomtongoza mwanamke akakuweka wazi kuwa ana mume basi unaamua jambo moja tu kati ya haya

Aidha ukomae nae japo na ww uuloweke unenge wako pale bila kuleta bughudha au,

Unaachana nae kisha unatafuta mwanamke wa kwako peke yako ili usiwe unaumizwa na hiyo hali ya kujua kabisa kwamba fulani sasa hivi kavuliwa kyupi kapanua miguu ankazwa na jamaa yake.
 
successor

successor

JF-Expert Member
Joined
Oct 25, 2012
Messages
2,989
Likes
5,237
Points
280
successor

successor

JF-Expert Member
Joined Oct 25, 2012
2,989 5,237 280
Unapomtongoza mwanamke akakuweka wazi kuwa ana mume basi unaamua jambo moja tu kati ya haya

Aidha ukomae nae japo na ww uuloweke unenge wako pale bila kuleta bughudha au,

Unaachana nae kisha unatafuta mwanamke wa kwako peke yako ili usiwe unaumizwa na hiyo hali ya kujua kabisa kwamba fulani sasa hivi kavuliwa kyupi kapanua miguu ankazwa na jamaa yake.
Duh! Noma ni pale unajikuta umenogewa
 
moyafricatz

moyafricatz

JF-Expert Member
Joined
Nov 27, 2015
Messages
937
Likes
1,153
Points
180
moyafricatz

moyafricatz

JF-Expert Member
Joined Nov 27, 2015
937 1,153 180
Mkuu, namjua how you feel.. Nimepita kwenye Kipindi kama chako.

Tena demu alikua ni demu wa mshikaji wangu wa kufa nikufe.. Blood kabisa.. Ila demu akanipa tunda.. Tukalibanjua siku, miezi, mpaka miezi Sita ikafika.

Akarudi kwa msela. Najua unavyofeel Maana mimi nimewahi kuwa sehemu kama ulipo wewe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mbalizi1

mbalizi1

JF-Expert Member
Joined
Dec 16, 2015
Messages
13,079
Likes
21,831
Points
280
mbalizi1

mbalizi1

JF-Expert Member
Joined Dec 16, 2015
13,079 21,831 280
Duh! Noma ni pale unajikuta umenogewa
Kubali masharti, akikipeleka kitumbua kwa jamaa yake inakulazimu kuwa mpole ndugu.

NB: Kadiri miaka inavosogea ipo siku utaona unapoteza muda tu hapo kwake . Unapiga Mack time kwakuwa naamini hata wewe huwezi kukubali kuwa na mke ambaye anaenda kukitombesh@ nje
 
John_Bravo

John_Bravo

Member
Joined
Jul 20, 2018
Messages
87
Likes
162
Points
40
John_Bravo

John_Bravo

Member
Joined Jul 20, 2018
87 162 40
Duh..!!!Pole sana mkuu.Kwakweli hiyo situation yenu ni kama mnafanya THREESOME bila nyinyi wenyewe kujua..Fanya maamuzi sahihi maana hapo magonjwa nje nje mkuu..
 
Rashford Lingard

Rashford Lingard

JF-Expert Member
Joined
Feb 9, 2018
Messages
468
Likes
532
Points
180
Rashford Lingard

Rashford Lingard

JF-Expert Member
Joined Feb 9, 2018
468 532 180
Yatakukuta makubwa zaidi ya huyo atakaeachwa kwa sababu za kubumba, waache waenjoy mapenzi yao, narudia "YATAKUKUTA ZAIDI YA HAYO UNAYO MTENDA MWENZIO"
 

Forum statistics

Threads 1,262,089
Members 485,449
Posts 30,112,703