Nimeshindwa kuomba namba ya mdigo nimempa mimi yangu ndo uwezo wangu

Julius Husseni

JF-Expert Member
Sep 9, 2016
1,364
1,078
Wakuu samahanini wanaume wenzangu kwa kuwaangusha.

Asubui nimeleta uzi humu juu ya mlimb wa kidigo niliekaanae siti 1 lengo nimwombe namba
Mpaka nimefika mwisho wa safari yangu njia mzima . Sio siri nilishindwa kabisa kuomba namba lakini naamini atanitafuta tu Maana tumepiga Sana stori njiani.. Asante kwa ushauri wenu.. Nasubiri anitafute nishaoga tayari kuondoa uchovu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siku ingine ukitaka kuomba namba ya simu ya mrembo unamwambia naomba siimu yako niiangalie unaikagua kisha unamwambia atoe password unaisifia kama ni nzuri kama sio nzuri unamsifia yeye kisha unajibipu baas.

Akikataa kukupa simu unafikiri zaidi.Mwanaume lazima uwe mbunifu
 
Duh aisee hapa nasubiri text yake tu Maana aliniambia atanitafuta akifika

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu samahanini wanaume wenzangu kwa kuwaangusha.

Asubui nimeleta uzi humu juu ya mlimb wa kidigo niliekaanae siti 1 lengo nimwombe namba
Mpaka nimefika mwisho wa safari yangu njia mzima . Sio siri nilishindwa kabisa kuomba namba lakini naamini atanitafuta tu Maana tumepiga Sana stori njiani.. Asante kwa ushauri wenu.. Nasubiri anitafute nishaoga tayari kuondoa uchovu

Sent using Jamii Forums mobile app
Jiandae kupigwa mizinga, utajuta kwanini uligawa namba

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu samahanini wanaume wenzangu kwa kuwaangusha.

Asubui nimeleta uzi humu juu ya mlimb wa kidigo niliekaanae siti 1 lengo nimwombe namba
Mpaka nimefika mwisho wa safari yangu njia mzima . Sio siri nilishindwa kabisa kuomba namba lakini naamini atanitafuta tu Maana tumepiga Sana stori njiani.. Asante kwa ushauri wenu.. Nasubiri anitafute nishaoga tayari kuondoa uchovu

Sent using Jamii Forums mobile app
Hongera dogo kwa kujifunza kuongea na mabinti, we tafuta mpunga tu utakuwa huangaiki kuvizia namba, ungekuwa na usafiri wako ungemshusha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii kitu ina advantage n disadavntage... Kama hajakuelwa kabisa sahau kutafutwa ila kama amekuelwa atakutafuta na jua una mwanzo mzur wa kwenda kula bada na papa wa nazi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom