Rafiki yangu kanigongea girlfriend wangu baada ya kuiba namba yake ya simu kwenye simu yangu

Julius Husseni

JF-Expert Member
Sep 9, 2016
1,162
2,000
Huyu ni rafiki yangu mkubwa Sana kwao na kwetu tunatambulika wakat fulani anakuja kulala home namimi naenda kulala kwao sikutegemea kama angenitendea kitendo hicho.

Jamaa alikua anaona nachati na mtoto mzuri na alijua dogo namkubali Sana cha Ajabu akachukua namba yake usiku tukiwa tumelala na rafiki yangu na kuanza kutiririka nae Japokua girlfriend wangu hakumjua Kua rafiki yangu.

Kilicho niuma zaidi jamaa ananisimlia walikutana dar mwezi wa 12 dem alimkaribisha hadi chumbani kwake na wakamaliza Yao huko. Aisee walai dunia hii!

Hapa uwamuzi naochukua kabla wadau humu kunipa nyongeza ya adhabu juu ya hawa mashetani wa kuzimu.. Kwanza urafiki ujavunjwa kwa passive not kwa active.. Yaani tutaendaelea lakini kwa mwonekano urafiki umeisha demu nae ndo anisahau kama aliwahi Kua na mimi maisha yake yote.. Sina huruma na kiumbe cha kike cha aina hii.Sent using Jamii Forums mobile app
 
Daudi1

JF-Expert Member
Dec 14, 2013
6,815
2,000
Acha mambo ya ajabu hukuwa na damu, mwanamke aanayekubali kulala na mwanaume ili hali anajua yeye ni mpenzi wa mtu naye unamhesabia, acha agongwe tu hata kama angejua ni Rafiki yako unafikiri ingezuia kugongwa?
 
kirumonjeta

JF-Expert Member
Feb 9, 2008
3,942
2,000
Usigombane na rafiki yako kwa kushare Malaya, huyo demu ni Malaya, tafuta mwanamke anayejiheshimu, inawezekana ukafikiri kuwa huyo demu ni wako kumbe yuko na wengi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kaka napingana nawe kwa hoja moja!! Ajitathmini huyo rafiki yake ana nini ambacho yeye hana then ajirekebishe.Kama unamtimizia haja zake zote ikiwepo ile kubwa ya sita kwa sita wala hangepigiwa kijinga namna hiyo.Heshima ya mwanume machine kaka ukiremba hata HOUSEBOY atakupigia
 
Julius Husseni

JF-Expert Member
Sep 9, 2016
1,162
2,000
Una uhakika na unachokiongea hapa?
Kaka napingana nawe kwa hoja moja!! Ajitathmini huyo rafiki yake ana nini ambacho yeye hana then ajirekebishe.Kama unamtimizia haja zake zote ikiwepo ile kubwa ya sita kwa sita wala hangepigiwa kijinga namna hiyo.Heshima ya mwanume machine kaka ukiremba hata HOUSEBOY atakupigia
Sent using Jamii Forums mobile app
 
big_in

JF-Expert Member
Sep 26, 2013
4,515
2,000
Huyu ni rafiki yangu mkubwa Sana kwao na kwetu tunatambulika wakat fulani anakuja kulala home namimi naenda kulala kwao sikutegemea kama angenitendea kitendo hicho.

Jamaa alikua anaona nachati na mtoto mzuri na alijua dogo namkubali Sana cha Ajabu akachukua namba yake usiku tukiwa tumelala na rafiki yangu na kuanza kutiririka nae Japokua girlfriend wangu hakumjua Kua rafiki yangu.

Kilicho niuma zaidi jamaa ananisimlia walikutana dar mwezi wa 12 dem alimkaribisha hadi chumbani kwake na wakamaliza Yao huko. Aisee walai dunia hii!

Hapa uwamuzi naochukua kabla wadau humu kunipa nyongeza ya adhabu juu ya hawa mashetani wa kuzimu.. Kwanza urafiki ujavunjwa kwa passive not kwa active.. Yaani tutaendaelea lakini kwa mwonekano urafiki umeisha demu nae ndo anisahau kama aliwahi Kua na mimi maisha yake yote.. Sina huruma na kiumbe cha kike cha aina hii.Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo wanaume WA dar
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar threads

Top Bottom