Huyu binti hana hisia za mapenzi hata kidogo kisa ukeketaji

Mtetezi.com

JF-Expert Member
Oct 6, 2016
2,915
2,000
Nawasalimu wakuu na wadogo!
Niende kwenye mada;
Kidogo mimi ni mtaalam wa maswala ya kisaikolojia/sayansi inayojihusisha na tabia za binaadam na uwezo/ufanyaji kazi wa akili kitaalam branch of science deals with human behaviour and mental process.

Nilikutana na binti mmoja 25 ofisini kwangu akanieleza kuwa yeye ana mchumba wake na mara zote wamekuwa wakikwazana kwa kuwa yeye hasikii raha au hafurahii raha ya kufanya mapenzi kabisa tena sio kufurahia tu bali anaumia sana wakati wa mapenzi.

Ktk moja ya tiba tulizomshauri kitaalam ni kuwa ajaribu kusahau mapito yake ya mapenzi/traumatic events kama aliwahi kuumizwa au kuchukizwa na mapenzi au lah na pia tulimshauri mpenzi wake ajaribu kumwandaa kwa mda mrefu vya kutosha wakati wa kufanya mapenzi but kwa bahati mbaya mpenzi wake alisafiri ikabidi aendelee to na dose za kisaikolojia.

Watoto wa kike bhana baada ya kuona nipo deep sana akatamani afanye na mimi huenda akaona changes na mimi nikifata code of conduct za kazi zangu si sawa but mtoto ni mzuri sana nikajikuta nashawishika tukacheki afya yupo sawa mambo yakaendelea.

La haula mtoto hana kisimi, labia majora wala labia manora na awali alikana tatizo hilo nilipomuuliza pia nikagundua kuwa yeye hakuwa anajua kama amefanyiwaga huo ukatili nikajitahidi kwa mara ya kwanza ktk maisha yake akafika kileleni japo kwa mbinde sana.

My take;
1, Tuache ukatili wa kijinsia kuwakeketa watoto wakike
2, Tupende kuwaona wataalam pindi tuwapo na changamoto za mahusiano
3, Kina kaka tutumie mda wa kutosha kuwaandaa wapenzi wetu
4, Tufahamiane vizuri kabla ya kufanya mapenzi ili tujue tunaanza vipi na tunamaliza vipi.

NB,
Nitajibu maswali yote yatakayoulizwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ushimen

JF-Expert Member
Oct 24, 2012
26,742
2,000
Kosa kubwa sana, umekiuka maadili ya kazi yako. Na umemkosea sana huyo mteja wako kwa kupitia udhaifu wake na ukazini nae.
Pia huwenda yawezekana huyo mdada akawa ni mmoja kati ya member wa humu jf, na hivyo kupitia huu uzi wako akajikuta ameyasoma maudhui mazima ya kilicho jiri, na kisha ukawa tayari umemuongezea tatizo maradufu.
 
Khantwe

JF-Expert Member
Dec 20, 2012
52,964

Halafu anakuja kujiandikisha uzi kabisa kwa kukiuka maadili ya kazi yake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtetezi.com

JF-Expert Member
Oct 6, 2016
2,915
2,000
Kosa kubwa sana, umekiuka maadili ya kazi yako. Na umemkosea sana huyo mteja wako kwa kupitia udhaifu wake na ukazini nae.
Pia huwenda yawezekana huyo mdada akawa ni mmoja kati ya member wa humu jf, na hivyo kupitia huu uzi wako akajikuta ameyasoma maudhui mazima ya kilicho jiri, na kisha ukawa tayari umemuongezea tatizo maradufu.
Bado anaendelea na tiba na nimekubali ombi lake ili nimsaidie tu na sijaweka humu kumdhalilisha bali kuwaelimisha wengine ambao wanapitia magumu hayo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
aise

JF-Expert Member
May 16, 2018
2,158

Hii thread mimi hata sijaisoma, kumbe kagegeda mteja wake?
Ngoja kumbe niisome.
 
Ushimen

JF-Expert Member
Oct 24, 2012
26,742
2,000
Bado anaendelea na tiba na nimekubali ombi lake ili nimsaidie tu na sijaweka humu kumdhalilisha bali kuwaelimisha wengine ambao wanapitia magumu hayo

Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna elimu ulio itoa hapa, zaidi umemtweza mteja wako na kumdhalilisha pakubwa.
Ebu tazama, ni wanawake wangapi ambao walikeketwa pasipo utashi wao, na leo hii ndio moja wa member wakongwe humu jf, na pengine wali hitaji huduma kama hiyo unayo itumia kama fimbo....
Umejiuliza kama wameumia kwa kiasi gani...!!??
 
Andy Da Inc

Senior Member
Mar 2, 2015
116
250
Nawasalimu wakuu na wadogo!
Niende kwenye mada;
Kidogo mimi ni mtaalam wa maswala ya kisaikolojia/sayansi inayojihusisha na tabia za binaadam na uwezo/ufanyaji kazi wa akili kitaalam branch of science deals with human behaviour and mental process.

Nilikutana na binti mmoja 25 ofisini kwangu akanieleza kuwa yeye ana mchumba wake na mara zote wamekuwa wakikwazana kwa kuwa yeye hasikii raha au hafurahii raha ya kufanya mapenzi kabisa tena sio kufurahia tu bali anaumia sana wakati wa mapenzi.

Ktk moja ya tiba tulizomshauri kitaalam ni kuwa ajaribu kusahau mapito yake/tromatic events na pia tulimshauri mpenzi wake ajaribu kumwandaa kwa mda mrefu vya kutosha wakati wa kufanya mapenzi but kwa bahati mbaya mpenzi wake alisafiri ikabidi aendelee to na dose za kisaikolojia.

Watoto wa kike bhana baada ya kuona nipo deep sana akatamani afanye na mimi huenda akaona changes na mimi nikifata code of conduct za kazi zangu si sawa but mtoto ni mzuri sana nikajikuta nashawishika tukacheki afya yupo sawa mambo yakaendelea.

La haula mtoto hana kisimi, labia majora wala labia manora na awali alikana tatizo hilo nilipomuuliza pia nikagundua kuwa yeye hakuwa anajua kama amefanyiwaga huo ukatili nikajitahidi kwa mara ya kwanza ktk maisha yake akafika kileleni japo kwa mbinde sana.

My take;
1, Tuache ukatili wa kijinsia kuwakeketa watoto wakike
2, Tupende kuwaona wataalam pindi tuwapo na changamoto za mahusiano
3, Kina kaka tutumie mda wa kutosha kuwaandaa wapenzi wetu
4, Tufahamiane vizuri kabla ya kufanya mapenzi ili tujue tunaanza vipi na tunamaliza vipi.

NB,
Nitajibu maswali yote yatakayoulizwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ama kwel mganga hajigangi,mkuu una matatizo ya kisaikolojia fanya mpango upatiwe tiba fasta ukichelewa tegemea matokeo hasi,kwa ulichoandika tu ktk mada yako mwanasaikolojia atajua akuanzie wapi maana unaumwa UFIKI(upungufu wa fikra kichwani),wahi mkuu utibiwe
 
Mother Confessor

JF-Expert Member
Jan 7, 2016
17,121
2,000
Ama kwa hakika umekosa busara,hekima na weledi katika utendaji wako wa kazi..ulichofanya ni udhalilishaji na kukiuka maadili ya kazi yako,.jitathimini upya kama umeleta uzi huu ili upate sifa basi mm naona umejipakaza kinyesi usoni,.umejidhalilisha na kuidhalilisha fani yako..
 
Mndali ndanyelakakomu

JF-Expert Member
Dec 14, 2016
12,967
2,000
Kosa kubwa sana, umekiuka maadili ya kazi yako. Na umemkosea sana huyo mteja wako kwa kupitia udhaifu wake na ukazini nae.
Pia huwenda yawezekana huyo mdada akawa ni mmoja kati ya member wa humu jf, na hivyo kupitia huu uzi wako akajikuta ameyasoma maudhui mazima ya kilicho jiri, na kisha ukawa tayari umemuongezea tatizo maradufu.
Kazi ya wakubwa imefanywa na mtoto matokeo yake ndio haya
 
feyzal

JF-Expert Member
Apr 20, 2016
3,689
2,000
Nawasalimu wakuu na wadogo!
Niende kwenye mada;
Kidogo mimi ni mtaalam wa maswala ya kisaikolojia/sayansi inayojihusisha na tabia za binaadam na uwezo/ufanyaji kazi wa akili kitaalam branch of science deals with human behaviour and mental process.

Nilikutana na binti mmoja 25 ofisini kwangu akanieleza kuwa yeye ana mchumba wake na mara zote wamekuwa wakikwazana kwa kuwa yeye hasikii raha au hafurahii raha ya kufanya mapenzi kabisa tena sio kufurahia tu bali anaumia sana wakati wa mapenzi.

Ktk moja ya tiba tulizomshauri kitaalam ni kuwa ajaribu kusahau mapito yake/tromatic events na pia tulimshauri mpenzi wake ajaribu kumwandaa kwa mda mrefu vya kutosha wakati wa kufanya mapenzi but kwa bahati mbaya mpenzi wake alisafiri ikabidi aendelee to na dose za kisaikolojia.

Watoto wa kike bhana baada ya kuona nipo deep sana akatamani afanye na mimi huenda akaona changes na mimi nikifata code of conduct za kazi zangu si sawa but mtoto ni mzuri sana nikajikuta nashawishika tukacheki afya yupo sawa mambo yakaendelea.

La haula mtoto hana kisimi, labia majora wala labia manora na awali alikana tatizo hilo nilipomuuliza pia nikagundua kuwa yeye hakuwa anajua kama amefanyiwaga huo ukatili nikajitahidi kwa mara ya kwanza ktk maisha yake akafika kileleni japo kwa mbinde sana.

My take;
1, Tuache ukatili wa kijinsia kuwakeketa watoto wakike
2, Tupende kuwaona wataalam pindi tuwapo na changamoto za mahusiano
3, Kina kaka tutumie mda wa kutosha kuwaandaa wapenzi wetu
4, Tufahamiane vizuri kabla ya kufanya mapenzi ili tujue tunaanza vipi na tunamaliza vipi.

NB,
Nitajibu maswali yote yatakayoulizwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Au sio!...umesahau kuweka Ndimu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
walitola

JF-Expert Member
Nov 28, 2014
3,694

Ni kwa mda gani itachukua kumuweka sawa uyu mgonjwa na mpaka akapona kabisa tatizo lake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar threads

Top Bottom