Behind the camera
JF-Expert Member
- Jan 12, 2019
- 315
- 757
Kuna kabinti kanauza chai hapa mtaani kwetu dah huku na huku bwana nikaona nikatongoze nkakabandue lakini mawazo yangu yooote nadhani Ni wa miaka kama 19 au 20 nimekatongoza kakakubali haraka haraka, Leo nakauliza umri wake duh kumbe age imeenda na kana watoto wawili na mmoja anasoma darasa la tatu na mwingine ana miaka mi 3 duh hapa nimeishiwa hata pozi, ukizingatia mie sina hata mtoto mmoja.
Sijui Nim mbeto?
Nimpotezee?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sijui Nim mbeto?
Nimpotezee?
Sent using Jamii Forums mobile app