Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.9K
Posts
231.7K
Threads
7.9K
Posts
231.7K

On JF:

Habari za kitambo mabibi na mabwana, Mtaouliza mbona umepotea hivyo..!! Nipoo nimejaa tele nakusanya dolari, starehe tamu hivi acha nizitafute kwa nguvu zote. Wandugu sio kama leo ndo najua...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Kama uliwahi kuwa na mahusiano na mwana JF yeyote yule Je mahusiano yenu yalikuwaje?Mlidumu katika mahusino??Je mliaminiana au mlikuwa mnaviziana?? CC Asprin Watu8 Vin Diesel Jiwe Linaloishi...
10 Reactions
766 Replies
37K Views
Mtu unaweza jitoa mhanga uwe unabigia magadi tu! Mtoto hana hata kichunusi! Aaaahh! Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Hello guys, Enyi wadada msiouza papuchi zenu barabarani, lkn kila mkitongozwa mnaanza mizinga ya vocha, nauli, saluni etc ingekuwa ni vizuri zaidi mfanye hivi; Mwanaume akikutongoza (depending...
3 Reactions
19 Replies
3K Views
Amini babu, kawaida tunahusisha umalaya na kabila au makazi au kazi ya mwanamke. Tunakosea sana, ni dhana potofu sana. Nina Mwanamke Mzaramo but she is Very Smart. TUBADILIKE Sent using Jamii...
2 Reactions
23 Replies
3K Views
Habarini Wadau, Leo nimeamua tu nieleze tukio/ uzoefu mdogo nilioupata katika uhusiano wa Mapenzi wakati nikiwa mdogo kiasi. Lakini zaidi natamani sisi kama Wanaume tuwathamini sana wanawake...
44 Reactions
65 Replies
9K Views
Kama kicha kinavyojieleza. Mimi ni mwajiliwa katika taasisi flani nilianzia kazi mkoa A na mwanzoni mwa mwaka jana nilihamishiwa mkoa B.Huko mkoa B nimekutana na mfanyakazi mwenzangu ambaye...
2 Reactions
46 Replies
4K Views
Wakuu Kwa wale wenye kutunza memory mwezi wa 11 niliwai toa attribute za mabinti wawili Kati ya mnyaturu niliekua naye chuoni ambaye hakutaka tuende kwao kutambulika nikaamua kujiongeza nikampata...
0 Reactions
41 Replies
5K Views
Wakuu juzi kati nilipata safari ya kwenda mafunzo nje ya nchi -(Kwa wazungu), wakati nikiwa kule nikakutana na mtoto mmoja nilishakutana nae kwenye kikao hapa bongo, yeye huko ndiko kwao...
1 Reactions
59 Replies
6K Views
Salam kwenu wana JF , Leo nina tatizo ambalo naomba msaada wenu kimaombi na kimawazo pia. Nimeolewa miaka 7 iliyopita mwenyezi mungu katujaalia twins wa kike na wa kiume. Muda wote wa mahusiano...
2 Reactions
17 Replies
2K Views
habari wadau.. kwa uchunguzi wangu usio rasmi.. nimegundua wanaume wengi hawafurahii ndoa zao.. wanaona kama kuoa ni kosa kubwa.. Ukiwa bwana mdogo around 20s au hata early 30s ukienda kwa...
3 Reactions
26 Replies
4K Views
Siku hizi ukimtongoza msichana kitu cha kwanza anachofikiria ni kwamba unataka kumuoa kitu ambacho sio kweli. Binti akimaliza chuo atahangaika kutafuta ajira lakini akiona ajira haipatikani basi...
7 Reactions
31 Replies
3K Views
Nimekuwa mwoga kidogo kuleta mada huku hasa jukwaa hili, tumezoea kule juu. si unajua tena na hizi "VERIFIED USER". Majanga si kitoto...... Back to my topic. Nimekuwa najiuliza sana, kila mmoja...
0 Reactions
44 Replies
13K Views
Mwanaume anaoa Mwanamke anaolewa Kwa maana nyingine ni kuwa:Mwanaume anatenda na mwanamke anatendwa. Ukisikia mwanaume anamwambia mwanaume mwenzake kuwa unapenda vya bure utaolewa wewe...
0 Reactions
25 Replies
2K Views
Nina mpenzi wangu ninampenda lakini ananitia waswasi sana anatabia ya kusifia sana rafiki zangu hasa ambae nafanya nae kazi kada moja ya uhasibu yeye binti ni mwalimu sasa jamaa yangu anaasili ya...
3 Reactions
47 Replies
6K Views
Nimeshindwa kabisa kujua nn cha kufanya, isitoshe nina upunguvu mkubwa sana nguvu za kiume yaani nikiingiza tu namwanga halafu siwezi tena kuendelea na show, just imagine hawa mademu wote wamekuja...
1 Reactions
41 Replies
52K Views
Kwanini wanawake bikra wanakua wagumu kukubali uwatie mpaka utumie nguvu kubwa kiasi kwamba munapigana? Ili kuepusha mvutano huo njia gani rahisi inasaidia kutoa bikra ya demu aliekua ni mbishi...
0 Reactions
15 Replies
5K Views
Wanaume waaminifu tupo, ila tatizo letu hatuna fedha Mke na mume waligombana, nyumba ikageuka kuwa uwanja wa vita ya tatu ya dunia. Kila mmoja anamtupia mwenzie nyuklia za maneno lakini mwanaume...
5 Reactions
152 Replies
14K Views
Habari wa jf jami Mimi hua navutiwa na chura kwa hawa viumbe Sasa juzi nikakiona kiumbe kimoja hivi nikashawishika na umbo lake nikasema Nacho kama siku kadhaa kikakubali kunitunuku penzi Baba...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Walikuwa wapenzi kwa muda wa mwaka1! wakaja kutofautiana na kutengana kwa mwaka mzima,kila mtu alishika lake, baadae wakakutana waka solve prblm zao wakarudiana, mapenzi moto moto tukatangaziwa...
3 Reactions
77 Replies
12K Views
Back
Top Bottom