Wadada wengi sikuhizi ni njaa, ukimtongoza tu umekwisha..

okoyoko

JF-Expert Member
Jun 15, 2014
2,675
2,000
Hello guys

Mpaka inafika kipindi MTU unatamani ustaafu kutongoza, yani hakuna tofauti kati ya changu anaesimama barabarani na demu wa mtaani, wote wanauza papuchi zao..

Wakati ww unawaza jinsi ya kumgegeda mdada uliemtongoza, huyo mdada anawaza jinsi ya kukuchomoa pesa, ama kweli dunia tambara bovu
 
APEFACE

JF-Expert Member
Oct 1, 2016
3,527

QUID PROQUO= NIPE NIKUPE
 
kirikou1

JF-Expert Member
Nov 8, 2016
3,990
2,000
Toa pesa ule mizigo mizuri mizuri~ Sheikh Kipozeo
Hello guys

Mpaka inafika kipindi MTU unatamani ustaafu kutongoza, yani hakuna tofauti kati ya changu anaesimama barabarani na demu wa mtaani, wote wanauza papuchi zao..

Wakati ww unawaza jinsi ya kumgegeda mdada uliemtongoza, huyo mdada anawaza jinsi ya kukuchomoa pesa, ama kweli dunia tambara bovu
Sent using Jamii Forums mobile app
 
troublemaker

JF-Expert Member
Jun 8, 2015
15,201
2,000
Ukweli si njaa. Wana jiendekeza na wengi wanapenda mambo makubwa kuzid uwezo wao.

Ukimtongoza tu, kwanza unaulizwa unafanya kazi gani, ili tu apime kama una hela au huna...maisha ya Instagram yamewaharibu wengi..
Hello guys

Mpaka inafika kipindi MTU unatamani ustaafu kutongoza, yani hakuna tofauti kati ya changu anaesimama barabarani na demu wa mtaani, wote wanauza papuchi zao..

Wakati ww unawaza jinsi ya kumgegeda mdada uliemtongoza, huyo mdada anawaza jinsi ya kukuchomoa pesa, ama kweli dunia tambara bovu
Sent from my Nokia 6 using Jamii Forums mobile app
 
issaaman

JF-Expert Member
Dec 8, 2017
1,148
2,000
Naunga mkono hoja
Jamaa yangu kaliwa kwa nyakati tofauti Kama mara 8
Mara anaambiwa nitumie za lunch mara Leo tutaonana nitumie nauli
Mara ukituma unaambiwa mjomba Kaja sitapata nafasi
Kesho anakwambia za Jana nimenunua kitu
Nitumie tuonane ukituma asubuhi ili muonane mchana akaambiwa period Ya ghafla
Mdada anataka za pedi
Wadada wa sasa kiboko

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Gide MK

JF-Expert Member
Oct 21, 2013
7,187
2,000
Hawana hata aibu kakupa namba hata hujatongoza ushaanza kuitwa sweet, babdy dear hapo kinachofuata ni Kirungu
 
Aiba

JF-Expert Member
Oct 4, 2018
1,007
2,000
Mm mwanamke akiniomba pesa ya pedi tu naachana naye bora aseme amepata tatizo au nimuongezee pesa amepungukiwa lkni pesa ya pedi buku2 so fucken

Sent using Jamii Forums mobile app
 
walitola

JF-Expert Member
Nov 28, 2014
3,727
2,000
Hello guys

Mpaka inafika kipindi MTU unatamani ustaafu kutongoza, yani hakuna tofauti kati ya changu anaesimama barabarani na demu wa mtaani, wote wanauza papuchi zao..

Wakati ww unawaza jinsi ya kumgegeda mdada uliemtongoza, huyo mdada anawaza jinsi ya kukuchomoa pesa, ama kweli dunia tambara bovu
Dah ni kweli kabisa mimi kutongoza nilishaacha kitambo sana mana ukimsaundisha tu demu subiri uone mizinga inayofuata hapo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom