Nilichanganya mafaili,

Apr 4, 2015
79
125
Miaka iliyopita Niliwahi kuwa na uhusiano na bint aliyekuwa Mwanafunzi wa chuo Fulani ,Kisha uhusiano ukavunjika kutokana na yeye kuleta usaliti na kuanza uhusiano na mwanaume mwingine, Mimi nikamformat nikaendelea zangu na Harakati zangu.
Baada ya Kama Mwezi mmoja akanitafuta na kuomba turudi katika uhusiano ikiwemo kuniomba msamaha, Mimi nikamkubali uhusiano ukaanza upya tena ukanoga na kuanzisha malengo ya ndoa.
Sasa, Siku Moja akamuweka bint katika status yake ndugu yake ambaye hata kabla ya kumfaham yeye huyo bint tuliosoma naye na nilikuwa nikimfukizia sana,nilipo muona nikatafuta mbinu nimnase nikafanikiwa kupata mawasiliono yake, nikaanza kumfukizia tena, kilichotokea alirespond vizuri ila mwishoe akapanic alipo jua Tayari na uhusiano na ndugu yake (binamu yake) na kuahidi atamwambia na uhusiano lazima ufe, so akamwambia, jitihada za kumpoza zikagonga Mwamba, akakataa kabisa nikakosa pote, baya zaidi wa zamani bado namkubali, na faili nimeshachanganya??

Jf nimekuwa msomaji wa muda, ila kuna wadau watakao nisaidia kuyapanga mafaili ???

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Witmak255

JF-Expert Member
Feb 5, 2019
3,280
2,000
Mkuu hii Mimi ndo michezo yangu, yaani Mimi Kama Ni wazuri mtu na dada yake nacheza kama Ronaldo na wanapigwa wote but at the end lazma ajue mmoja na huyo ndo nadeal nae kisawasawa afiche siri na kuzuga namuacha mwingine coz nakuwa nshachapa wote
 
HARUFU

Platinum Member
Jan 21, 2014
28,284
2,000
Kazi ni Kazi ya freestyle ilimradi tu inalipa...

Ukiifanya kiuhakika...

Naamini mambo yatajipa...

Kama kwa kitu watu wanakipa...

KIMENTALI au KISOMI, iwe kwa BODA au kwa PIPA...
 
Blue G

JF-Expert Member
Jun 20, 2012
5,186
2,000
Mkuu hii Mimi ndo michezo yangu, yaani Mimi Kama Ni wazuri mtu na dada yake nacheza kama Ronaldo na wanapigwa wote but at the end lazma ajue mmoja na huyo ndo nadeal nae kisawasawa afiche siri na kuzuga namuacha mwingine coz nakuwa nshachapa wote
usikute hata wewe kama una kaka yako au mdogo wako wa kiume au binamu afu wote mahandsome wote washapita na anajitahidi kuificha siri kwa kila hali na usije ukashangaa mwisho wa siku muoaji akawa mwingine we ukaishia kuhudhuria harusi tu na kufungua shampen,dunia hii banah nzuri sana mliwa huliwa mkuu ;)
 
Blue G

JF-Expert Member
Jun 20, 2012
5,186
2,000
Mi mpaka sasa napiga dada na ndugu yake wa baba kwa mama na wanaishi nyumba moja, na wote wanajuana ila namna ya kuniacha hawana wote nmewatoa bikra, na wanaazimana cheni ya kiuno mmoja ninapomuhitaji.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu ifikie mahali tuwe na dhamiri yenye hofu ya kufanya vitu viovu,em imagine mkuu wewe ungependa dada yako afanyiwe hivyo?leo una watoto wa kike na unakuja kujua stuffs kama hizo utaunga mkono?uzuri wa hii dunia what goes around comes around,trust me mkuu everything that a man does has some effects,so we kumbuka yooote unayoyafanya leo ujanani halafu utaniambia utakayokutana nayo uzeeni,yatakuwa ni matunda ya mbegu zako za sasa za ujanani.
 
Dudus Coke

Member
Aug 31, 2014
39

hata usipowatendea watakutendea tu. wacha tutafute namna ya kujifariji

Sent using Jamii Forums mobile app
 
bhachu

JF-Expert Member
Jul 29, 2015
6,160
2,000
Miaka iliyopita Niliwahi kuwa na uhusiano na bint aliyekuwa Mwanafunzi wa chuo Fulani ,Kisha uhusiano ukavunjika kutokana na yeye kuleta usaliti na kuanza uhusiano na mwanaume mwingine, Mimi nikamformat nikaendelea zangu na Harakati zangu.
Baada ya Kama Mwezi mmoja akanitafuta na kuomba turudi katika uhusiano ikiwemo kuniomba msamaha, Mimi nikamkubali uhusiano ukaanza upya tena ukanoga na kuanzisha malengo ya ndoa.
Sasa, Siku Moja akamuweka bint katika status yake ndugu yake ambaye hata kabla ya kumfaham yeye huyo bint tuliosoma naye na nilikuwa nikimfukizia sana,nilipo muona nikatafuta mbinu nimnase nikafanikiwa kupata mawasiliono yake, nikaanza kumfukizia tena, kilichotokea alirespond vizuri ila mwishoe akapanic alipo jua Tayari na uhusiano na ndugu yake (binamu yake) na kuahidi atamwambia na uhusiano lazima ufe, so akamwambia, jitihada za kumpoza zikagonga Mwamba, akakataa kabisa nikakosa pote, baya zaidi wa zamani bado namkubali, na faili nimeshachanganya??

Jf nimekuwa msomaji wa muda, ila kuna wadau watakao nisaidia kuyapanga mafaili ???

Sent using Jamii Forums mobile app
Tamaa ilimuua FISI

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom