Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Nina mabest friends wa 5 katika hao 4 wamenizidi umri kidogo me Nina miaka 23 marafiki wangu wengi ni age kuanzia 32+ Kuna mshikaji mmoja ana itwa Adam ambaye nipo nae very closely amebahatika...
4 Reactions
31 Replies
3K Views
Habarini wanajamvi?. Jamani nowadays sio jambo geni, kukuta mtu yupo kwenye mahusiano ya kimapenzi....ila at the same time mahusiano hayo, yanaonesha kabisa HAYAPO HAI, i mean HAKUNA TENA UPENDO...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Habarini ndugu na Jamaa mliomo humu, Nina imani na hii forum ya kwamba naweza pata ushauri. Narudia tena nina imani. Wakuu in short Nina mke na tulianza kuishi pamoja mwaka 2011 na tuna watoto...
3 Reactions
59 Replies
5K Views
Wakuu nahisi mm ni muhanga wa hili tatizo na pengine kuna watu wanamna kama ya kwangu..... Huwa napata wakati mgumu sana kumtongoza MTU pale napokutana naye kwa Mara ya kwanza, yaani hapo nikuwa...
4 Reactions
170 Replies
23K Views
Kama wapo nitaomba waniambie hapa Faida yake kubwa kisha waniambie ni kwanini wanataka Kushindana na Uumbaji wa Mungu ambao aliwaumba bila mbwembwe zozote zile na ‘ K ‘ zao alishazipima na...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Baba Neema alitupigia simu #116 baada ya kugundua mwanae kwa jina Neema, mwenye umri wa miaka 16 ni mjamzito na hivyo hatoweza kuendelea na masomo. Mwanzoni, Neema alisita kumtaja aliyempa...
0 Reactions
4 Replies
715 Views
Wasalaam wadau hapa Jamvini Mwanaume ulieoa hebu fanya kumsaidia mkeo kazi za nyumbani kama kudeki,kufua,Kupika,Kuchota maji nk. Muache alale na akiamka mpe hela aende Saloon. Ni hayo tu...
2 Reactions
45 Replies
4K Views
Kama nilivyokuja na uzi wangu wa kuomba wenyeji kwenye baadhi ya mikoa, nashukuru nimetoka Mtwara ahsante kwa mwenyeji wangu kwa ukarimu wako, juzi wakati nipo Mtwara nikapata mwenyeji wa Dodoma...
11 Reactions
115 Replies
8K Views
man's first love is always selfless and unconditional. He puts his lady above anything else, maybe above his family and friends too. But when things don't work out, he is lost. Many stay in that...
1 Reactions
3 Replies
922 Views
Mimi kama mimi napenda mwanamke awe walau na sehemu ya kushika, Sasa kuna wengine wamekauka mpaka kipindi cha mchezo unakakunja na kukakaza mpaka unakaonea huruma. Napenda pia wanawake wenye...
7 Reactions
112 Replies
21K Views
Wadau habarini, naombeni ushauri mwenzenu nina mpnzi wangu anaitwa Magreth tumeanza kitambo sana bt hapa kati tukaja kuzinguana kidogo ila kwa sana nipo nae Ila kuna kitu sikiewi amenambia...
2 Reactions
58 Replies
5K Views
Wadada mmekua na tabia ya kuwabania sex baadhi ya wanaume ambao unais ni chaguo lako, ili akuoe. Yaani unabana kumpa mzigo kisa ukimoa unaisi atakutema, nshakosa wadada watatu. Yaani...
0 Reactions
3 Replies
810 Views
Mweusi wa asili kabisa Mrefu kiasi Nyuma kumebinuka kidogo Sauti nzito flan hivi akiongea Kama anatoka usingizini Rangi asili asiye tumia mkorogo.... Ohooooo kwakweli Mbeya sihami Atuwene...
2 Reactions
53 Replies
7K Views
natafuta mwanamke wa kuchati nae namba yangu 0676289360
0 Reactions
0 Replies
1K Views
kuna wafanyabiashara na wafanya kazi wengi wa serikalini ambao muda wa kutoka huwa ni saa kumi hadi saa 12 jioni ambao wana maamuzi mawili, kunyoosha moja kwa moja nyumbani ama kwenda sehemu...
5 Reactions
11 Replies
2K Views
Tanzania kuna Dini kuu mbili yaani kuna dini ya kikristo na uislamu... Linapokuja kwenye maswala ya mahusiano huwa kuna matabaka au changamoto pale watu wawili wenye dini tofauti na...
2 Reactions
178 Replies
10K Views
Kuna dada mmoja tunaishi nae mtaa mmoja kiasi kwamba kutoka anapokaa yeye na mimi ni mwendo wa kama dk 5 hivi. Cha ajabu nimemwalika kwangu akaniambia tuma nauli, nikamuuliza unajua unawasiliana...
4 Reactions
27 Replies
2K Views
Hasa mliofikisha miaka 36 na kuendelea, msipokuwa na pesa mnakuwa hovyohovyo hamna swaga, hamjiamini kila saa kusumbuana kwa msg, mvi zinawatoka, majasho, makunyazi, munakosa nuru kunawiri kwa...
5 Reactions
63 Replies
8K Views
Habari zenu wakuu, Mimi ni binti mwenye umri wa miaka 26.Natarajia kufunga ndoa wiki ijayo Inshaallah kama mambo yataenda kama yalivyopangwa. Naomba wale wazoefu, makungwi, manyakanga, washauri...
4 Reactions
244 Replies
30K Views
Kuna kamsemo watu wanakasema kwamba Mungu atakupa wa kufanana naye watu wengi wameoa either kwa kuamini huyo aliyenaye anafanana nae au labda kuoa/kuolewa kwa basi tu. Je sisi ambao...
1 Reactions
12 Replies
5K Views
Back
Top Bottom