Ewe mwanaume hebu mfanyie haya mkeo leo

Ngareroo

JF-Expert Member
Aug 11, 2019
2,049
2,249
Wasalaam wadau hapa Jamvini
Mwanaume ulieoa hebu fanya kumsaidia mkeo kazi za nyumbani kama kudeki,kufua,Kupika,Kuchota maji nk.
Muache alale na akiamka mpe hela aende Saloon.
Ni hayo tu wazeiya,mimi mwenyewe ningekua nimeoa ningefanya ivo.
@NgarenaroBoy
 
ukishafanya hayo mkeo ataanza kukushika tako, alafu uje kusema nimeshikwa tako na mke nifanyeje ?
 
Wasalaam wadau hapa Jamvini
Mwanaume ulieoa hebu fanya kumsaidia mkeo kazi za nyumbani kama kudeki,kufua,Kupika,Kuchota maji nk.
Muache alale na akiamka mpe hela aende Saloon.
Ni hayo tu wazeiya,mimi mwenyewe ningekua nimeoa ningefanya ivo.
@NgarenaroBoy
Mkuu inategemea na akili ya mwanamke mwingine ukimfanyia hivyo unakaribisha 50/50 hata kwenye mambo yasiyo na tija
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom