Wanaume tafuteni pesa!!!

Zahra White

JF-Expert Member
Apr 30, 2013
599
574
Hasa mliofikisha miaka 36 na kuendelea, msipokuwa na pesa mnakuwa hovyohovyo hamna swaga, hamjiamini kila saa kusumbuana kwa msg, mvi zinawatoka, majasho, makunyazi, munakosa nuru kunawiri kwa ufupi munakuwa waovyo.

Mwanamume mwenye pesa mob mutamu sana, self confidence, napewa nachotaka ananukia , anapaka Mafuta RS ngozi mororo, hakuna kuzeeka mumuangalie pdiddy au muzee mwanakijiji humu hazeeki.
 
Mathayo 6:33
Utafuteni kwanza ufalme wa mbinguni na hayo yote mtazidishiwa.
Mwanamke haridhiki na pesa, kadiri hela inavyoongezeka ndivyo anavyopandisha dau.
Ndio maana wanaliwa migongo kwa tamaa yao ya pesa
 
Hasa mliofikisha miaka 36 na kuendelea, msipokuwa na pesa mnakuwa hovyohovyo hamna swaga, hamjiamini kila saa kusumbuana kwa msg, mvi zinawatoka, majasho, makunyazi, munakosa nuru kunawiri kwa ufupi munakuwa waovyo.

Mwanamume mwenye pesa mob mutamu sana, self confidence, napewa nachotaka ananukia , anapaka Mafuta RS ngozi mororo, hakuna kuzeeka mumuangalie pdiddy au muzee mwanakijiji humu hazeeki.
Haya mawazo ya wenye umri below 35..... COME above 35 ndo utaelewa
 
Na wenyewe papuch zisafishwe vizuri zisinuke pesa na hakuna mwanaume asie na pesa ila kuhonga pasina mwanamke asie na akili hakuna siku hz baada ya kuomba hela ya mtaji wa biashara unaomba hela kwenda saloon
initial capital utanipea na saloon pia.
 
oo Yeah total turnoff mwanawume asiye na pesa huyu hata hotelin he will ask price of water before ordering.

money is everything mwanaume asiye na hela anakuwa musumbufu sana kind of zezeta.
Nakubaliana na wewe kwani raha ina gharama zake ila tukumbushe kuwa Kuku hula Sawa na mdomo wake na huwa hapaliwi. Angalia hata kinyaia ameamua kubeba mtu Sawa na nyanya yake! Hivyo above 35 kama huna hela ni vyema ukamuiga Ben kinyaia ukabeba over 50 years baadala ya kutafuta less than 25
 
Hasa mliofikisha miaka 36 na kuendelea, msipokuwa na pesa mnakuwa hovyohovyo hamna swaga, hamjiamini kila saa kusumbuana kwa msg, mvi zinawatoka, majasho, makunyazi, munakosa nuru kunawiri kwa ufupi munakuwa waovyo.

Mwanamume mwenye pesa mob mutamu sana, self confidence, napewa nachotaka ananukia , anapaka Mafuta RS ngozi mororo, hakuna kuzeeka mumuangalie pdiddy au muzee mwanakijiji humu hazeeki.
Ndomana mnaliwa 0713 kwa kupenda kwenu pesa nyambaf
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom