Hi guys,
Hope mpo poa,
Nimejikuta natamani tu kuongea na wale ndugu zangu ambao wanateseka mno na social life iwe kwa mahusiano ama urafiki.!!
Kuna watu wanaishi maisha magumu mno tena kwa...
Ewe mwanaume kuwa na maumbo makubwa ni sifa ama ulimbukeni naomba kujua
Wanawake mnawaharibu watoto wa kiume kama mnapenda madude makubwa naomben mlizike Na vile mungu alivyoumba
Kila sehemu...
Hivi ni kweli kuna uwepo wa hawa wanawake wenye mashine za kiume? Kwa wale wadau wa 'Pilau' nadhani mtakuwa mmekutana nao wadada wenye madude na zinafanya kazi kama wanaume, sasa huwa sielewi kama...
Wanawake (walioolewa na ambao hawajaolewa) nawashauri muache kuoneana wivu na kuchukiana kwa kutupigania wanaume.
Inaeleweka kabisa sisi wanaume tuko wachache nyie mmejaa telee hivyo mwanaume...
Wakuu,kuna kitu nmekumbuka hapa baada ya kusoma uzi wa ushimen.
Well,hili nmelishuhudia zaid ya mara ya 4 sasa.hawa mabint skuhiz
Mnaweza kunywaa weee mi bia mwisho wa siku mkitaka kuanza...
Poleni kwa majukumu naombeni ushauri
Ninae mwanamke, katika pekuapekua ndani nimefumania kijitabu chake ameandika wanaume zake wote aliotembea nao ni zaidi ya hamsini sasa wadau huyu atanifaa kweli?
Kakukorofisha,ukorofi unaojirudia mara kwa mara, mwisho wa siku unaamua kumwambia humtaki tena umeshachoshwa na tabia zake,anaomba msamaha lakini bado unashikilia msimamo wako "UMECHOKA HUMTAKI...
Siku zote mwanamke hawezi pata mwanaume aliye sahihi.
1. Ukimkuta handsome; kichwa chake ni empty set (in the list voice)
2. Ukimkuta genius; yuko serious masaa 24 na wengi huwa hawako romantic...
Tujadili namna ya Ku handle hisia zetu mapenzi Kwa sasa ni pasua kichwa
Bora kutafuta pesa mambo mengine ukiona huyaelewi upumzike
Wadau tupeane mbinu sasa vipi tutaweza ishi bila kufanya...
Wanaume wengi wanao date wanawake wenye sura na muonekano mbaya wanakuwa na low self esteem. Wanakuwa hawajiamini wanahisi kama muda wowote akitokea mtu anayemzidi pesa au power anaweza kuachwa 😂...
‘Elimu ni ufunguo wa maisha.’ ni usemi wa enzi utumikao kuhamasisha watu wapate elimu. Katika miaka ya hivi karibuni shule zimekuwa nyingi sana zenye kufundisha mambo mengi na kila mzazi anataka...
Jmani habari za Jumatatu.
Kuna mdada hapa anasema tangu aanze mchezo amekutana na wanaume wawili ndio wamemgegeda Nikasema sawa.
Lakini Nami nimemgegeda cha kushangaza K Imeharibika sana (Kubwa...
Upweke ni mtihani Sana usimbe takukute
Sio kwamba utongozi au utongozwiii rahashaaa inachotokea unakosa wa kufanana nae
Sijui lini nitapata wa kurushiana mito chumbani
Huko dar mtawekewa device ambayo mta shikwa live mkichepuka jamani hii nzuri walete arusha wanaume za watu wakome kuchepuka nakupeleka matumizi mengine natamani tuone itaendaje hili sakata finaly...
Ukisikia fainali uzeeni ni fainali kweli kweli sio mchezo kama mwenyezi Mungu akikujalia kufika huko!
Ni kipindi ambacho unaweza kukuta mkeo amekukimbia na watoto wote uliojibana kusomesha shule...
Salam kwenu wakuu.Kwakua leo ni j'pili na wengi wetu tupo katika hali tulivu nawaombeni kwaheshima tushirikiane kujadili hili suala ambalo kwa imani yangu naona jibu lake ni muhimu sana kwa jamii...
Huwezi kuamini, amempora dada yake tonge mdomoni dakika ya mwisho kabisa.
Nilipata kufahamiana na Angela. kwa kweli alikuwa mzuri sana nilimkubali kila kitengo. Ila ukweli yeye ndo alidata...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.