Daah! Hivi unaanzaje kutongoza

thomas_360

JF-Expert Member
Oct 11, 2015
1,459
1,428
Wakuu nahisi mm ni muhanga wa hili tatizo na pengine kuna watu wanamna kama ya kwangu.....
Huwa napata wakati mgumu sana kumtongoza MTU pale napokutana naye kwa Mara ya kwanza, yaani hapo nikuwa ndo mmekutana naye kwa Mara ya kwanza inaweza ikawa labda njiani au kwenye daladala.
Maana wanaume sie huwa hatukawii kupenda na kama upo single basi kila mwanamke mzuri unayekutana naye unatamani awe wako Ila sasa mbinu za kumuingilia ndo huwa kitendawili....wazoefu tunaomba tushare hapa na wadada mnaruhusiwa kuchangia pia
 
Jf imevamiwa mpaka watoto Wa form 2 wamo

Anywhere unaanza kwa kula robo ya pilipili then unashusha mistari
 
Una sema " mambo Dada? Samahani unaenda wap? Akijibu... OK nimevutiwa na wewe kama itakupendeza naomba no. Ila kabla ya mtongozo jitathimini, uko smart? Sio umejivalisha vibaya utegemee akubali kirahisi.
Afu ongea kwa ustaarabu, pia kwanza muone kama mnaendana kiumri, watu wengi tuna tatizo la kudhalau wanaume wanaoonekana kama wavulana.
 
Kila usiku kabla ya kulala wazia shikide yako ni mwanamke unayetakiwa kumtongoza so utakua unaongea na shikide yako huku ukijijibu.

Utaendelea kuitongoza mpaka itakapokukubalia. Ikikukubalia itabidi ujimege, so jitahidi ujikatalie.

Shikide = Amber Rutty
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom