Wanawake acheni njaa, badilikeni!

The Initiator huru

JF-Expert Member
Dec 4, 2017
1,531
1,733
Kuna dada mmoja tunaishi nae mtaa mmoja kiasi kwamba kutoka anapokaa yeye na mimi ni mwendo wa kama dk 5 hivi. Cha ajabu nimemwalika kwangu akaniambia tuma nauli, nikamuuliza unajua unawasiliana na nani akasema ndio.

Nikamuuliza nauli ya nini sasa akashindwa cha kujibu akajionea aibu mwenyewe. Nikamwambia mimi mwanamke ambae hana nauli huwa simtaki nikamblock.

Huwa nakerekaga sana na hako kaneno, wanawake badilikeni
 
iko hivi kuna dada mmoja tunaishi nae mtaa mmoja kiasi kwamba kutoka anapokaa yeye na mm ni mwendo wa kama dk 5 hivi, Ila chaajabu Nimemwalika kwangu akaniambia tuma nauli, nikamuuliza unajua una wasiliana na nani akasema ndio. Nikamuuliza nauli ya nn sasa akashindwa cha kujibu akajionea aibu mwenyewe. Nikamwambia mm mwanamke ambae hana nauli huwa simtaki nikamblock,
Huwa na kerekaga san na hako kaneno, wanawake badilikeni
Mkuu umechomoa betri mapema sana hata ya kutolea ulikuwa bado haujaambiwa
 
iko hivi kuna dada mmoja tunaishi nae mtaa mmoja kiasi kwamba kutoka anapokaa yeye na mm ni mwendo wa kama dk 5 hivi, Ila chaajabu Nimemwalika kwangu akaniambia tuma nauli, nikamuuliza unajua una wasiliana na nani akasema ndio. Nikamuuliza nauli ya nn sasa akashindwa cha kujibu akajionea aibu mwenyewe. Nikamwambia mm mwanamke ambae hana nauli huwa simtaki nikamblock,
Huwa na kerekaga san na hako kaneno, wanawake badilikeni
Tuma nauli ni namna ya kukuambia hana mpango na wewe.
Jiongeze.
 
Wenyewe wanasema nauli wanawaomba maboya ila kama mtu wamempenda they use their own money.. Huenda huyo alikua ajakuelewa au anapima u serious wako
 
iko hivi kuna dada mmoja tunaishi nae mtaa mmoja kiasi kwamba kutoka anapokaa yeye na mm ni mwendo wa kama dk 5 hivi, Ila chaajabu Nimemwalika kwangu akaniambia tuma nauli, nikamuuliza unajua una wasiliana na nani akasema ndio. Nikamuuliza nauli ya nn sasa akashindwa cha kujibu akajionea aibu mwenyewe. Nikamwambia mm mwanamke ambae hana nauli huwa simtaki nikamblock,
Huwa na kerekaga san na hako kaneno, wanawake badilikeni
hebu unblock hiyo namba yake alafu mtumie jero.
 
iko hivi kuna dada mmoja tunaishi nae mtaa mmoja kiasi kwamba kutoka anapokaa yeye na mm ni mwendo wa kama dk 5 hivi, Ila chaajabu Nimemwalika kwangu akaniambia tuma nauli, nikamuuliza unajua una wasiliana na nani akasema ndio. Nikamuuliza nauli ya nn sasa akashindwa cha kujibu akajionea aibu mwenyewe. Nikamwambia mm mwanamke ambae hana nauli huwa simtaki nikamblock,
Huwa na kerekaga san na hako kaneno, wanawake badilikeni
Baharia unakosaje utamu kizembe hivyo! Au ulikuwa humpendi? Yawezekana ni kautaratibu alikojiwekea au alichanganya mafaili. Au kweli alitaka apande Pikipiki.

Hapo mbona karibu sana! Siyo gharama kubwa!

Ila katisha mbaaya!
 
Sio demu mkali sana wakumshobokea kwanza ni single mother
 
Safi sana na tayari nimeshawasiliana na wajumbe 10 hadi sasa, bila shaka tutakurasimisha uwe Mwenyekiti ktk kikao kijacho kwa uanaume ulioonesha ili uwe mfano wa kuigwa na wengine.
 
Back
Top Bottom