Nakaribia kukata tamaa

Nakaribia kukata tamaa

Mgaagaa

Member
Joined
Apr 16, 2019
Posts
37
Reaction score
28
Habarini ndugu na Jamaa mliomo humu, Nina imani na hii forum ya kwamba naweza pata ushauri. Narudia tena nina imani. Wakuu in short Nina mke na tulianza kuishi pamoja mwaka 2011 na tuna watoto watatu.

Lakini mapenzi kwa sasa naweza sema yanakwenda mlama wife amekuwa anacheat niligundua mwaka juzi na nikatefa mtego na kufanikiwa kuthibitisha kwa aibu aliamua ni kama uhusiano wetu uishe maana alitamka mbele za watu kwamba hanifaham na akarudi kwa wazazi,

Niliwaeleza hali halisi na sikutaka kuachana naye baadae walimshauri akarudi nyumbani na maisha yakaendelea baada ya mwaka mmoja nimegundua anacheat tena na nimethibisha na nimekaa na huyo jamaa kasema waliahidiana kuona kwa sababu wife hana amani kwenye ndoa yake.hivyo ataachana na mimi akaishi na jamaa.

Mtoto wa kwanza ana miaka 9 na wa pili wana mwaka 1.

Ushauri wenu tafadhali.
 
Pole sana Mkuu, usiendelee kuumiza moyo na akili yako na huyo vinginevyo atakuletea ukimwi. Jamaa hatamuoa ila anatoa tu ugwadu wake. Piga chini haraka sana Mkuu.

Habarini ndugu na Jamaa mliomo humu, Nina imani na hii forum ya kwamba naweza pata ushauri. Narudia tena nina imani. Wakuu in short Nina mke na tulianza kuishi pamoja mwaka 2011 na tuna watoto watatu. Lakini mapenzi kwa sasa naweza sema yanakwenda mlama wife amekuwa anacheat niligundua mwaka juzi na nikatefa mtego na kufanikiwa kuthibitisha kwa aibu aliamua ni kama uhusiano wetu uishe maana alitamka mbele za watu kwamba hanifaham na akarudi kwa wazazi, Niliwaeleza hali halisi na sikutaka kuachana naye baadae walimshauri akarudi nyumbani na maisha yakaendelea baada ya mwaka mmoja nimegundua anacheat tena na nimethibisha na nimekaa na huyo jamaa kasema waliahidiana kuona kwa sababu wife hana amani kwenye ndoa yake.hivyo ataachana na mimi akaishi na jamaa. Mtoto wa kwanza ana miaka 9 na wa pili wana 1 yr. Ushauri wenu tafadhali.
 
Mkuu unataka tukushauri nini na kila kitu umeona? Mkeo hakupendi tena na haheshimu tena ndoa yake.
Jitoe kaanze upya hamna namna huyo mwanamke atatulia na wewe tena.
 
Huyo mwanamke kama hajakufanyia mambo ya kiswahili sio bure..
Mtu anakucheat zaidi ya mara mbili unajua bado upo naye tu eti mke

Wewe unamuona mke
Yeye anakuona kibwengu
Hakuna ndoa tena hapo penzi lake kwako limeshakufa na kama ulikua na madhambi yako nyuma basi kalipiza kisasi
Kama huna !adhambi basi achana naye huyo kiumbe,c umeona mwenzio wa kigamboni alichofanya sio poa
 
Chomoa betri mkuu unasubiri nini au ad ad akuambie ana mimba ya huyo hawara wake?
 
Hakuna sababu ya kukata tamaa, unachotakiwa ni kukubaliana na hali na kuanza upya. Jiulize kabla yake hukuishi!? Mahusiano yako za zamani kabla yake bado yapo!? Huyo si mama yako mzazi kusema huwezi kumbadilisha hata iweje.

Furaha na amani yako vinatokana na wewe mwenyewe. Hutakuwa wa kwanza kuanza upya.

Piga moyo konde, pangusa vumbi, angalia umejikwaa wapi ili isijirudie tena, then songa mbele, kuna maisha ya furaha yanakusubiri
 
Aisee kuna watu wana mioyo ya chuma, mtu anakucheat mara mbili zote na unajua bado unaishi naye...!Piga chini, lea watoto ikiwezekana tafuta houses girl kwa ajili ya uangalizi wa watoto kwa kipindi hiki cha mpito
 
Habarini ndugu na Jamaa mliomo humu, Nina imani na hii forum ya kwamba naweza pata ushauri. Narudia tena nina imani. Wakuu in short Nina mke na tulianza kuishi pamoja mwaka 2011 na tuna watoto watatu. Lakini mapenzi kwa sasa naweza sema yanakwenda mlama wife amekuwa anacheat niligundua mwaka juzi na nikatefa mtego na kufanikiwa kuthibitisha kwa aibu aliamua ni kama uhusiano wetu uishe maana alitamka mbele za watu kwamba hanifaham na akarudi kwa wazazi, Niliwaeleza hali halisi na sikutaka kuachana naye baadae walimshauri akarudi nyumbani na maisha yakaendelea baada ya mwaka mmoja nimegundua anacheat tena na nimethibisha na nimekaa na huyo jamaa kasema waliahidiana kuona kwa sababu wife hana amani kwenye ndoa yake.hivyo ataachana na mimi akaishi na jamaa. Mtoto wa kwanza ana miaka 9 na wa pili wana 1 yr. Ushauri wenu tafadhali.
Usikaribie kukata tamaa
Ulitakiwa kukata tamaa
Hakuna penzi wala ndoa
Upo kama sponsor tu
Mwingine anapewa penzi
Siajabu marinda hayapo
Yanini kuendelea naye
Fungua macho uone kha
Sikiza usikie dunia yako
Dunia yakuambia ukweli
Kuwa hakuna mapenzi
Lea watoto wako ndugu
Huyo ngurimbili muachie
Mwache aende apendapo
Maisha lazima taendelee

Bazazi
 
Hivi inakuwaje Mwanaume unang'ang'ania Ndoa??? Unaogopa Mtagawana mali au..??? Ogopa sana kumlazimisha mwanamke Ndugu yani utateseka sana na huyo falaa.. Mwanamke akinicheat nikathibitisha nasema Atarudi kwao saa hiyo hiyo na hata ambulia hata miaa...
 
Habarini ndugu na Jamaa mliomo humu, Nina imani na hii forum ya kwamba naweza pata ushauri. Narudia tena nina imani. Wakuu in short Nina mke na tulianza kuishi pamoja mwaka 2011 na tuna watoto watatu. Lakini mapenzi kwa sasa naweza sema yanakwenda mlama wife amekuwa anacheat niligundua mwaka juzi na nikatefa mtego na kufanikiwa kuthibitisha kwa aibu aliamua ni kama uhusiano wetu uishe maana alitamka mbele za watu kwamba hanifaham na akarudi kwa wazazi, Niliwaeleza hali halisi na sikutaka kuachana naye baadae walimshauri akarudi nyumbani na maisha yakaendelea baada ya mwaka mmoja nimegundua anacheat tena na nimethibisha na nimekaa na huyo jamaa kasema waliahidiana kuona kwa sababu wife hana amani kwenye ndoa yake.hivyo ataachana na mimi akaishi na jamaa. Mtoto wa kwanza ana miaka 9 na wa pili wana 1 yr. Ushauri wenu tafadhali.
Kama mkeo amekwisha amua kwamba hataki kuendelea kuishi na wewe nashauri ukubaliane na uamuzi wake kisha ujifunze kumove on.

Kama ulimfumania akiliwa nje na akadiriki kukana kukufahamu mbele za watu, Braza huna chako hapo. Na kwa sasa unavyoendelea kulazimisha anazidi kukuona kero.

Anaweza hata kukutoa uhai kama ukiendelea kuwa kikwazo cha yeye kuolewa na huyo Jamaa mwingine.

Let it go.
 
Back
Top Bottom