thomas_360
JF-Expert Member
- Oct 11, 2015
- 1,456
- 1,436
Tanzania kuna Dini kuu mbili yaani kuna dini ya kikristo na uislamu...
Linapokuja kwenye maswala ya mahusiano huwa kuna matabaka au changamoto pale watu wawili wenye dini tofauti na wanapendana...
Watu wanaweza kuwa katika mahusiano ya kimapenzi lakini linapokuja kwenye swala la ndoa huwa ni changamoto kwani kuna upande unaweza ukapinga kabisa hilo swala.
Natamani Dini zote zingekuwa zinashirikiana katika kila jambo hasa kwenye mahusiano kusingekuwa na kipingamizi na ingewezekana iwekwe utaratibu ambao endapo watu wenye Dini tofauti wakiwa wanapendana na wanahitaji kuishi pamoja basi zifuatwe.
Leo hii unakuta mkristo anampenda mtu wakislamu au muislamu anampemda mkristu lakini unakuta MTU wakati mwingine anashindwa akiAnza kufikiria vikwazo vya hapo mbeleni!!
Natamani Kweli kusiwe na matabaka ambayo tunakutana nayo....I hope kuna watu walishakutana na hivi vikwazo na wanaendelea kuumia!!!