Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

kuna baadhi ya wanawake wakati wa kugegedana wanajisugua kinembe kwa kutumia vidole, hii huwa maana yake mini?
1 Reactions
6 Replies
4K Views
Mchana huu wa leo mama watoto alinipitia na tukaenda kwenye kiji mgahawa kimoja hapo jirani na jengo la PPF tower. Pale tukakutana na wafanyakazi wenzangu na hivyo basi mama watoto akawa...
77 Reactions
731 Replies
130K Views
Kuna jirani yangu hapa chupi imepeperushwa na upepo ikaingia ndani kwake bila yeye kujua... Sasa demu wake ameikuta gheto mpaka sasa ni ugomvi.. Pia ndani kwake kuna viatu virefu vile vya kike...
1 Reactions
23 Replies
5K Views
Hii imekaaje?? Ukishamtongoza mwanamke akakubali haya mambo hutokea?!, au ndio registration fee?!:- LUKU ya mwanamke huisha fastaa Jiko la Gas huisha fasta Pesa ya nauli akamsalimie mama mdogo...
12 Reactions
123 Replies
10K Views
Habari za majukumu wakuu? Jibu kiuhalisia na ikiwezekana toa sababu ya kutetea jibu ulilopendekeza A) Laki mbili/200k au B) Laki saba/700k
0 Reactions
33 Replies
3K Views
Yani nasema kiukweli toka moyoni sipendi mke wangu atumie mitandao ya kijamii. Hata kama mimi mwenyewe natumia na anajua natumia lakini yeye sipendi nimuone anatumia hiyo mitandao. Najua wapo...
2 Reactions
148 Replies
9K Views
MKE WA KAKA Sehemu Ya 51 Mtunzi..... MoonBoy Simu No. +255714419487 WhatsApp Ilipoishia Jana →↓↓↓↓← "chidi, njoo boy wangu mie naumia" "usijali,.. Ila we wataka vingapi leo" "leo, nataka wewe...
0 Reactions
4 Replies
21K Views
Sarah alitoka kwenye familia nzuri sana, baada ya kumaliza mafunzo ya ualimu alianza kazi kwenye wilaya moja. Alikuwa na mawasiliano na boyfriend wake wa tangu shuleni. Huyu alikuwa mgeni wake...
11 Reactions
25 Replies
3K Views
wakuu habari.. . . huu ukwaju uloletwa mjin umekuwa unaliwa kivingine kimitego na hawa waliozungumza ana kwa ana na shetani pale bustanini! . tazama wanavyoulamba utashangaa mara waunyonye huku...
2 Reactions
17 Replies
1K Views
Habari zenuenu wakuu wa JF? Wakuu bila kupoteza muda ningependa kutambua hasa ni kitu gani kinasababisha hawa Warembo ambao bado hawajaingia katika maisha ya ndoa watupende sisi wanaume ambao...
1 Reactions
72 Replies
8K Views
Huyu kijana nilikutana nae katika gar miaka 5 imepita huko nyuma tukabadilishana mawasiliano kutokana na Kaz aliokuanafanya na mm kwa kazi niliokuwa nafanya zilishabihiana kiasi. Tuliwasiliana...
1 Reactions
31 Replies
3K Views
Kama una mke, mchumba, mchepuko wa kike halafu havai nguo fupi ama zile za kubana basi umekosea kuchagua. Angalia shape yake, ipo vizuri? Angalia sura yake, ipo vizuri? Angalia miguu yake, iko...
2 Reactions
20 Replies
4K Views
Maisha yanakwenda kasi sana, nawashangaa sana vijana wanaokosa papuchi mpaka kupiga nyeto, nina umri wa miaka 24 ila mademu kibao wananilia! Mmoja ana Miaka 37 ana watoto wake wawili, huyu...
7 Reactions
67 Replies
6K Views
Ndugu zangu, Kama mjuavyo siku hizi tatizo la ajira hasa kwa wahitimu wa vyuo vya kati na vyuo vikuu limekua kubwa sana. Ila kinachonishangaza, tunaambiwa kwamba soko la ajira lina ushindani...
1 Reactions
20 Replies
3K Views
MAISHA YA MLIMWENGU BOARDING SCHOOL Andrew alikuwa na umbo dogo alipita juu ya dari akadondokea nje ya bweni na mwili wote ulikuwa umejaa vumbi usingeweza kujua sura yake kwa alivyokuwa kutokana...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Nilipokuwa na kazi nzuri nilimtimizia mahitaji yote, Lakini sasa kazi nimefukuzwa mpenzi hanitaki tena, Nilipata mgeni mmoja akanidanganya ni kaka yake,tena nilimkaribisha na nyumbani kwangu...
1 Reactions
28 Replies
3K Views
Bila salamu...Direct to the point(NB:Sitatumia Ngareroo slangs watu wanalalamika hawaelewi,So Shunie Am sorry coz unapenda Ngareroo slangs),Jana usiku nikiwa alone kama kelvin ghettoni nacheki...
2 Reactions
36 Replies
6K Views
Ukubali usikubali haya ninayoyasema ni kweli na hakika! Ikitokea ukaingia kwenye nahusiano na Juma au Asha, baadae ukagundua kuwa mwenzako anatabia fulani hivi ambazo zinakukela mathalani kujibu...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Dume zima una Kitambi Kikubwa halafu hapo hapo ni Mvivu wa Kuoga achilia mbali Kufua Mboksa wako. Dume zima na akili zako kabisa yaani katika Magari yote Wewe umeona bora Kwako Kununua ni Vitz au...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Ni furaha ilioje kwa familia kwani baada ya msoto wa muda mrefu sana naye sasa kapata mwenza. Mume ni wa kule kusini mashariki ya mbali. Nilichojifunza ishu ya kukosa mwenza inawakosesha raha na...
3 Reactions
21 Replies
3K Views
Back
Top Bottom