Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Mweusi wa asili kabisa Mrefu kiasi Nyuma kumebinuka kidogo Sauti nzito flan hivi akiongea Kama anatoka usingizini Rangi asili asiye tumia mkorogo.... Ohooooo kwakweli Mbeya sihami Atuwene...
2 Reactions
53 Replies
7K Views
natafuta mwanamke wa kuchati nae namba yangu 0676289360
0 Reactions
0 Replies
1K Views
kuna wafanyabiashara na wafanya kazi wengi wa serikalini ambao muda wa kutoka huwa ni saa kumi hadi saa 12 jioni ambao wana maamuzi mawili, kunyoosha moja kwa moja nyumbani ama kwenda sehemu...
5 Reactions
11 Replies
2K Views
Tanzania kuna Dini kuu mbili yaani kuna dini ya kikristo na uislamu... Linapokuja kwenye maswala ya mahusiano huwa kuna matabaka au changamoto pale watu wawili wenye dini tofauti na...
2 Reactions
178 Replies
10K Views
Kuna dada mmoja tunaishi nae mtaa mmoja kiasi kwamba kutoka anapokaa yeye na mimi ni mwendo wa kama dk 5 hivi. Cha ajabu nimemwalika kwangu akaniambia tuma nauli, nikamuuliza unajua unawasiliana...
4 Reactions
27 Replies
2K Views
Hasa mliofikisha miaka 36 na kuendelea, msipokuwa na pesa mnakuwa hovyohovyo hamna swaga, hamjiamini kila saa kusumbuana kwa msg, mvi zinawatoka, majasho, makunyazi, munakosa nuru kunawiri kwa...
5 Reactions
63 Replies
8K Views
Habari zenu wakuu, Mimi ni binti mwenye umri wa miaka 26.Natarajia kufunga ndoa wiki ijayo Inshaallah kama mambo yataenda kama yalivyopangwa. Naomba wale wazoefu, makungwi, manyakanga, washauri...
4 Reactions
244 Replies
30K Views
Kuna kamsemo watu wanakasema kwamba Mungu atakupa wa kufanana naye watu wengi wameoa either kwa kuamini huyo aliyenaye anafanana nae au labda kuoa/kuolewa kwa basi tu. Je sisi ambao...
1 Reactions
12 Replies
5K Views
This is the most sexiest woman on the planet earth. Cause she knows how to "contain" a man. Hakunaga mwanaume mkorofi mbele ya mwanamke mpole.
1 Reactions
3 Replies
1K Views
1,Ana wanawake wengi,anawabadilisha kama nguo,bandika bandua 2,Kila akimuingiza mwanamke ndani,anaongeza sauti ya redio (bufa) 3,Anakunja sura kwa wapangaji wenzake,hataki mpangaji amzoeee...
14 Reactions
58 Replies
9K Views
Habari zenu wakuu, Nimefikiria sana sipati jibu kwanini hali hii ya kuwa na unyonge sana pindi tunapotaka kuomba papuchi na ikitokea tunataka kunyimwa tunakuwa wanyonge sana hata magoti tunapiga...
1 Reactions
55 Replies
10K Views
Nimekuwa nikijiuliza mno hili Swali hasa ikizingatiwa kuwa Mwanamke Kubeba Mkoba ni sawa na Israeli na Roho ya Binadamu na kama tunavyojua moja ya Bidhaa muhimu ambayo ni lazima iwe isiwe utaikuta...
1 Reactions
16 Replies
3K Views
Je wanawake wote hufika kileleni wakati wa kufanya mapenzi? Swali hilo, lilizua mabishano makali baina ya mwanahabari kutoka Marekani Bi Zoe Mendelson na aliyekuwa mpenzi wake mwaka 2016. Kwa...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Picha haihusiani na habari hii............................ Ø Kumbe ni mtu na mkewe walionipa shilingi 90 punde tu! Ø Nikasahau kwamba nilikuwa na deni , nikaendelea na maisha Ø Miaka 17 baadae...
42 Reactions
196 Replies
28K Views
Wanaume sijui wako vipi mtu umeachwa basi utafute girl mzuri kumshinda x wako hata akimuona aanze kukuonea wivu. Kama huyu kaka mpaka anatia huruma nimemuacha miezi mitatu bado amepata girlfriend...
7 Reactions
242 Replies
21K Views
Wakuu siku ya leo imekuwa ngumu sana. Story ipo hivi; nina mpenzi wangu tuna kama miaka miwili hivi ukweli nampenda sana,sasa miezi michache iliyopita alianza sumbuliwa na tumbo sana alienda...
4 Reactions
154 Replies
9K Views
Akiwa na umri mdogo unakimbizana nae (mtoto wa kike) kumshawishi avae chu.pi...huku yeye mwenyewe HATAKI. Miaka 18 mbeleni unakimbizana na mtu huyohuyo kumshawishi akuvulie chu.pi...huku yeye...
2 Reactions
11 Replies
1K Views
Ndugu dexter alitupa kisa chake kuwa ana mwanamke mwenye fedha, na dada huyo amempa dexter maisha mazuri, ila tatizo kwa mujibu wa dexter ni sura mbaya ya huyo dada, hivyo pamoja na kupata maisha...
6 Reactions
52 Replies
8K Views
Nawasalimu katika upendo mkuu. Nia ya kuja na uzi huu, ni kutoa nasaha zangu kwa wale wote ambao wapo katika maandalizi ya kuwapata wenzi wao wa kusaidiana nao katika malezi na matunzo ya miji yao...
5 Reactions
128 Replies
14K Views
Ni rafiki yangu wa karibu,kanitumia screenshorts za majibu ya mpenzi wake baada ya kunyimwa penzi kwa miezi kadhaa na mpnz anayedai kuwa na ndoto za kumuoa! Anadai kwa kipindi kirefu ameyumba...
3 Reactions
65 Replies
6K Views
Back
Top Bottom