Hii ni Siri nimeitunza mpaka Leo

Hii ni Siri nimeitunza mpaka Leo

Hziyech22

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2019
Posts
18,323
Reaction score
26,174
Nina mabest friends wa 5 katika hao 4 wamenizidi umri kidogo me Nina miaka 23 marafiki wangu wengi ni age kuanzia 32+ Kuna mshikaji mmoja ana itwa Adam ambaye nipo nae very closely amebahatika kuoa mwanamke mmoja anaitwa happiness.yeye ana miaka 36 wakati happiness ana miaka 27 na wana miaka mi3 kwenye ndoa yao.

Kuna siku moja pita pita zangu ni kiwa na jamaa yangu Adam nikamuona mke wake ana enda lounge na jamaa fulani simjui huyo jamaa lkn sikumstua jamaa yangu Adam na nikua na sababu zangu kwanini sikufanya vile lakini pia siku nyingine nilimuona tena yule yule jamaa akiwa happiness.

Kuna siku moja tukiwa tumekaa Mimi na Adam na marafiki wenzetu Adam alikuwa anatuhadithia kuhusu Mambo yake ya kifamilia kwamba happiness siku his hamuelewi amekuwa akikataa tendo la ndoa pia amekuwa alirudi usiku Sana tofauti na awali akaomba wadau tumpe ushauri kila mtu akatoa maoni yake Kuna wengine wakahisa mkewe anachepuka na wengine wakasema Mambo mengine lakini me nikamshauri inawezekana unakuaga una mkosea mke wako au umfanyii Mambo before ujamuomba tendo la ndoa me nilimshauri hiv ingawa najua ukwel mkewe anachepuka.Mke wake ninamjua vizuri na yeye ananijua na tulijuana kipindi Adam ananitambulisha kwangu kipindi wakiwa kwenye uhusiano na pia Nina no yake ya simu.

Niliamua nimpigie simu happiness na tukutane na kweli happiness akaja nikaanza kuongea nae nikamueleza ukweli kwamba ninajua kwamba anachepuka na nikamtajia sehemu ambazo namuonaga na huyo mwanaume na akali kweli ukaniuliza je Adam anajua nikamwambie sikumwambia na pia ajui akaniuliza kwanini ukumwambia wakati wewe ni rafiki wa karibu Sana nikamwambia rafiki yako ni mtu mwenye hasira Kali Sana if ningemwambia ile siku nipo nae nilivyokuona unaenda lounge yangekukuta makubwa nikamwadithia issue moja iliwahi kutokea Adam before yakuwa na wewe alikuwa ana uhusiano na dada mmoja Kuna siku Adam alimfumania huyo demu akiwa jamaa mmoja getto la huyo msela baada ya kumfuatilia mpenzi pamoja na kupewa taarifa na rafiki zake kwanza akafunga mpango akaanza kumpiga na chupa huyo msela hukua akimfunga na kamba baada ya hapo akamgeukia demu wake akaanza kumpiga ngumi,mateke uku wakipiga makelele ndipo raia walio nje ya mlango wakavunja ule mlango nakuingia na kumuwahi haraka Adam asiue dah happiness akashtuka nilimweleza hiv nikamwambie kingine nilichofanya nisimwambie nikwamba mmetoka nae mbali ulimpenda jamaa yangu akiwa Hana kitu lkn pia aliniambiaga wewe ndo uliomfanya aache kuvuta sigara,kunywa pombe na kucheza kamari na pia we ndio ulitoa nusu ya Mali ya kuolewa nakumpa mshikaji ndo maana sikutaka ndoa yenu ife so nakushauri achana na mchepuko wako ili nisimwambie Adam nikimuuliza hiv ingekuwa Adam angekuwa ana kucheat wewe ungefurahi?

NB: mpaka Leo Adam sikumwambia cos nimeona mahusiano yao na happiness yapo poa angalizo hii issue ni kweli sijatunga na hayo majina ni kweli na nimeamua kusema hayo hao wote wawili hawapo jamiiforum so haina effect yoyote.
 
Hongera kwa kuweza kutunza siri, ila pia ungemuuliza huyo Happy ni nn kilimfanya achepuke ili kama sababu ni jamaa ujue ni jinsi gani ya kuongea na jamaa ako.

Na kama sio umuonye vizuri ili aache maana usaliti ni sumu inayoua ndoa nyingi sana na kuacha majeraha yenye maumivu makali.
 
Kwa Mungu hakuna majunguuu....we endelea tuuuu ( naimba tu )
 
Ni kama bomu lililoachwa bila kuteguliwa kwa imani kuwa halitaleta maafa.
 
Huyo happyness atachepuka tena...sema mara hii atakuwa muangalifu sana

Very true, dawa bado haijapatikana. nadhani mtoa post angeongea na happiness "kama" akimueleza shida ilipo ataweza kujua jinsi gani ya kuongea na rafiki yake ili kumtuliza happy wenge, unaweza ukute ni jambo dogo sana.
 
Shida ya wanawake wachepukaji unaweza kuongea nae kwa lengo zuri ukaishia kuingia vishawishini ukala mzigo....
Bora ahusishe na watu wengine wenye busara kama viongozi wa dini au mtu yyte mwenye mapenzi mema..

La sivyo ataingia vishawishini story iwe tofauti kabisa
 
Hahaha... aisee kweli.
 
Hongera kwa kuweza kutunza siri, ila pia ungemuuliza huyo Happy ni nn kilimfanya achepuke ili kama sababu ni jamaa ujue ni jinsi gani ya kuongea na jamaa ako.

Na kama sio umuonye vizuri ili aache maana usaliti ni sumu inayoua ndoa nyingi sana na kuacha majeraha yenye maumivu makali.
Ushauri wako ni mzuri sikumuuliza Hilo swali kwa wakati ule sikuwa na mawazo hayo cos niliona kuchepuka ni hulka ya mtu tu.
 
Dah kumbe siku zote umenificha sasa atanikoma kudadeki

Back
Top Bottom