Pap Joh
Member
- Aug 18, 2019
- 69
- 48
Habarini wanajamvi?.
Jamani nowadays sio jambo geni, kukuta mtu yupo kwenye mahusiano ya kimapenzi....ila at the same time mahusiano hayo, yanaonesha kabisa HAYAPO HAI, i mean HAKUNA TENA UPENDO KATI YAO. Lakini ni nadra sana kukuta huyo mtu, analielewa hilo....
Mfano mzuri, ni mimi mwenyewe. I remember nilishawahi kuwa kwenye mahusiano ya kimapenzi na mrembo mmoja hivi. Ila so sad akawa ananifanyia mambo ya ajabu sana.......but all in all mzee nzima nikawa naendelea kukomaa tu, hadi pale alipokuja kufunga dimba yeye mwenyewe!!. Then cha ajabu sasa, mimi ndio niliumia sana.....uwezi amini now inakimbilia 1 year, lakini still namkumbuka na sijaweza kuingia kwenye new couple kabisah. And i hope hata humu ndani, wapo watu waliopitia au wanapitia hii scenario....
Sasa swali langu ni hili:-
"Hivi ni kwanini, huwa tunaendelea kuwa kwenye mahusiano ya namna hiyo....ni kwamba huwa HATUONI au TUNAKATAA KUONA, kwamba hapa hakuna tena UPENDO.
WOTE MNAKARIBISHWA....KARIBUNI.