Meseji niliyoikuta kwenye simu ya mke wangu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Meseji niliyoikuta kwenye simu ya mke wangu

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Bujibuji, Jan 8, 2010.

 1. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #1
  Jan 8, 2010
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,288
  Likes Received: 22,052
  Trophy Points: 280
  Mchana huu wa leo mama watoto alinipitia na tukaenda kwenye kiji mgahawa kimoja hapo jirani na jengo la PPF tower.
  Pale tukakutana na wafanyakazi wenzangu na hivyo basi mama watoto akawa akibadilishana nao mawazo.
  Wakiwa wanaendelea na mazoezi nikawa nimeishika simu ya mama watoto ili nichue namba ya shangazi yangu aliyeko shamba.
  Baada ya kuichukua ile namba nikaingia kwenye meseji.
  Sina utamaduni wa kukagua simu ya mama watoto, hata yeye analijua hilo lakini leo sijui ni kitu gani kimetuma kufanya hivyo.
  Hii ndiyo sms niliyoikuta kwenye simu yake "mi sina la kusema, coz najua hou u make me crazy on bed, roll it babe!"

  Basi nikajiforwadia kwenye simu yangu, na nikaichukua namba ya huyo mtumaji ambaye anaitwa coleman.
  Mpaka naachana na wife sikusema chochote na nikajaribu kuficha machungu yangu ili kati yetu asiwepo wa kujua na kuniuliza ni nini kimetokea.
  Sitaki mnielekeze kuwa nimsamehe au nimuadhibu..
  Nimeongea hapa ili kutoa donge la hasira na uchungu vilivyonijaa moyoni.
   
 2. Dark City

  Dark City JF-Expert Member

  #2
  Jan 8, 2010
  Joined: Oct 18, 2008
  Messages: 16,277
  Likes Received: 241
  Trophy Points: 160

  Kama hutaki msaada wa mawazo basi tayari umeshapitisha hukumu. Basi tupe hints kuhusu hiyo hukumu. Vinginevyo kutua yaliyo moyoni ni pamoja na kutafuta ushauri + sympathy.

  Binafasi nimeguswa sana na pole kwa yaliyo kukuta. Ukiweza kulimaliza hili basi huenda hutakuwa na mtihani mwingine mkubwa maishani. Time and locations are key to healing. Jipe muda na ikiwezekana chukua likizo ukae mahali tofauti ili uweze kulitafakari hili jambo!
   
 3. Pearl

  Pearl JF-Expert Member

  #3
  Jan 8, 2010
  Joined: Nov 25, 2009
  Messages: 3,042
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  pole,ukiambiwa kuwa uyaone c magorofa eti
   
 4. N

  Natasha Ismail JF-Expert Member

  #4
  Jan 8, 2010
  Joined: Jul 14, 2008
  Messages: 511
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 60
  pole sana,
  Huhitaji ushauri lakini fikiria kuwa kama na wewe unacheat YEYE NI MWANADAMU PIA .pole sana inauma.
   
 5. Baba_Enock

  Baba_Enock JF-Expert Member

  #5
  Jan 8, 2010
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 6,802
  Likes Received: 163
  Trophy Points: 160
  Hii bandiko linaonyesha kuwa siyo wewe uliyepatwa na hilo jambo - Ni story ya kutunga a.k.a kusadikika.

  UJUMBE: kwa wale wenye tabia ya kuchonokoa simu za wenzi wao watambue kuwa watakutana na meseji nzuri zaidi ya hiyo!
   
 6. Freetown

  Freetown JF-Expert Member

  #6
  Jan 8, 2010
  Joined: Apr 6, 2008
  Messages: 887
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  pole ndugu yangu haya ndo madhara ya maendeleo, usinyamaze mbane vilivyo akueleze, ikibidi tumia tena simu kumjibu huyo coleman ukijifanya ndo mkeo, utajua mengi zaidi, unaweza uliza ni lini nilkumake crazy zaidi?
   
 7. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #7
  Jan 8, 2010
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,496
  Likes Received: 81,818
  Trophy Points: 280

  Pole sana Mkuu, lakini make sure to control your anger, although in this situation it is very difficult.
   
 8. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #8
  Jan 8, 2010
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,288
  Likes Received: 22,052
  Trophy Points: 280
  hakika hii ishu imenitokea mimi binafsi na si mtu mwingine mchana huu wa leo
   
 9. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #9
  Jan 8, 2010
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,288
  Likes Received: 22,052
  Trophy Points: 280
  asante kwa kuningezea point
   
 10. Victoire

  Victoire JF-Expert Member

  #10
  Jan 8, 2010
  Joined: Jul 4, 2008
  Messages: 10,445
  Likes Received: 7,183
  Trophy Points: 280
  uongo mtupu.
   
 11. A

  Akili Kichwani JF-Expert Member

  #11
  Jan 8, 2010
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 1,504
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135

  hapana!!!!!!!!!!!!!!!!!! hakuna usawa kama huu!

  back to the point.

  nakuponkeza mkubwa kwa kifua halisi cha kiume. sasa tengeneza mtego halafu uondoke na mbwa wa mtu.

  sasa msg umeona live eo ataingia home na wewe utapata usingizi kweli???????

  nakushauri ukalale gest angalau kwa leo, isije kutokea immergency ukaua mtu
   
 12. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #12
  Jan 8, 2010
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,288
  Likes Received: 22,052
  Trophy Points: 280
  dhumuni langu lilikuwa ni kuondoa tu donge la hasira..
  We sema lolote tu lakini dhamira yangu imetimia.
  Kwenye kila safari kuna vikwazo.. Wewe sio wa kwanza
   
 13. Fredwash

  Fredwash JF-Expert Member

  #13
  Jan 8, 2010
  Joined: Oct 27, 2009
  Messages: 593
  Likes Received: 159
  Trophy Points: 60
  i dont care kama ametunga ama la... ninachweza kumwambia ni kuwa kama aliandika hapa kutoa hasira its ok... HE can even cry... na la zaidi DISTANCE its a best medicine aende mbali na mazingira yaliyomzoea (namaanisha kuanzia majrani nyumbani, kazini na chochote kile ambacho amezoea kukiona na kukifanya) kwa mda akae huko alerax then akirudi wakae waongeee wakati temper imeshuka ...

  +++++++++++++++++
  SOMETIMES DISTANCE IS THE BEST MEDICINE....but Know your Direction
   
 14. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #14
  Jan 8, 2010
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,288
  Likes Received: 22,052
  Trophy Points: 280
  asante kwa ushauri binamu
   
 15. Victoire

  Victoire JF-Expert Member

  #15
  Jan 8, 2010
  Joined: Jul 4, 2008
  Messages: 10,445
  Likes Received: 7,183
  Trophy Points: 280
  kama ni kweli basi wewe kidume.
   
 16. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #16
  Jan 8, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  yaani hii news yako ipeleke mapendoni pale ijadiliwe
  pole sana bujibuji ..?? jamani inasikitisha sana
   
 17. Jayfour_King

  Jayfour_King JF-Expert Member

  #17
  Jan 8, 2010
  Joined: Nov 15, 2009
  Messages: 1,142
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Pole sana mkuu.
  Ingawa binafsi nakuombea iwe haijatokea kwako kama alivyosema mtu mmoja hapo juu. Suala hili lisikie kwa mwenzio likitokea kwako ni balaa!! Kwa kuwa umesema tusikupe ushauri wala kuongeza neno lolote naamini kama imetokea kweli, then mungu akupe busara ya kuyakabili haya mambo mazito.
   
 18. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #18
  Jan 8, 2010
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 688
  Trophy Points: 280
  kwa maana hiyo, kama akaa Mwenge, ahamie Mbagala spiricho centre kwanza kwa muda??

  NO.... fanya utaratibu fasta umkamate huyo jamaa ukiwa na wahuni wanne hivi wapeane zamu tu na picha kibao wapige wakiwa kwenye kilimo mseto. baada ya hapo we rudi home na mamsapu mpeleke dina la maana na ukatekeleze sera kama hakijatokea kitu vile.
   
 19. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #19
  Jan 8, 2010
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Iam trying to figure out the situation, but i cant easily digest it...Ni mwizi gani huyu atakayeingiza sms ya namna hiyo kwa mke wa mtu!..";mi sina la kusema, coz najua hou u make me crazy on bed, roll it babe"....Sms ni ushahidi mzuri sana kimahakama....Huyo mwanamke nae si wako kama anakaa kimya na sms ya namna hiyo bila kuisalimisha kwako...this is living with a devil..icant believe!..Ni mkeo au girlfriend?...embu kuwa serious basi Bujibuji...Ningekuwa Dar ningekutafuta unionyeshe mwanamke wa aina hiyo anafananaje...gooosh!...Yani it pains me more than 2u!...Jesus!
   
 20. Shapu

  Shapu JF-Expert Member

  #20
  Jan 8, 2010
  Joined: Jan 17, 2008
  Messages: 1,896
  Likes Received: 174
  Trophy Points: 160
  Mkuu dont just jump into conclusion! Unahitaji kufanya uchunguzi wa kina... pengine unalofikiria sivyo au kuna zaidi ya hilo. So fanya uchunguzi kwanza usijiumize kwa mawazo coz it could be ni rafiki yake katumia hiyo simu or sth else.
   
Loading...