Namkunda OG
JF-Expert Member
- Nov 17, 2015
- 827
- 1,049
Nilipokuwa na kazi nzuri nilimtimizia mahitaji yote,
Lakini sasa kazi nimefukuzwa mpenzi hanitaki tena,
Nilipata mgeni mmoja akanidanganya ni kaka yake,tena nilimkaribisha na nyumbani kwangu akalala, akala msosi wa nguvu pombe kibao nazo akanywa,
Akanipa salamu nyingi kutoka nyumbani kwa wazee ,
Pia akalalamika et kwanini siendi kusalimu wazee
Nilimpa heshima zote nikijua ni shemeji yangu ,
Kumbe alikuwa ni.................................!
Ebu malizia kama unaikumbuka hii song
Yamemkuta jirani yangu kama haya hivi leo
Pole jirani. [emoji116]