Usijidanganye, hatabadilika!!!

Nebuchadinezzer

JF-Expert Member
Oct 1, 2018
1,403
2,545
Ukubali usikubali haya ninayoyasema ni kweli na hakika!

Ikitokea ukaingia kwenye nahusiano na Juma au Asha, baadae ukagundua kuwa mwenzako anatabia fulani hivi ambazo zinakukela mathalani kujibu kwa mkato; kutokujibu SMS, kutokupenda kazi, mchafu, nk. Nakuhakikishia hizo tabia haziwezi badilika eti kisa umemtambulisha kwenu au utamuoa.

Kama unaona utaweza kuvumilia hizo tabia zake, endelea nae. Kama huwezi mpige chini mapema hata kabla ya kumaliza kusoma thread hii

Nategemea kuona vijana mnafanya maamuzi ikiwezekana ucku huu.

ASANTENI
 
Hakuna binadamu aliyekamilika,kwani wewe unayetaka kuoa au kuolewa umekamilika kila kitu?
Maisha ni kuvumiliana na kuelekezana.
 
Back
Top Bottom