Kwa tabia hizi ‘ Sugu ‘ na ‘ zinazoboa ‘ pia wataachaje Kudharauliwa na Wanawake wa Karne hii ya Kidijitali?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,546
108,876
Dume zima una Kitambi Kikubwa halafu hapo hapo ni Mvivu wa Kuoga achilia mbali Kufua Mboksa wako.

Dume zima na akili zako kabisa yaani katika Magari yote Wewe umeona bora Kwako Kununua ni Vitz au IST au Oppa halafu siyo mpya bali ni Mtumba na wala hupaki Kwako ama unapaki kwa Jirani au CCM.

Dume zima unakula Chakula cha Kike Chips, Mayai na Kuku.

Dume zima ukipanda DalaDala halafu pembeni yako amekaa Mwanamke unaogopa na unashindwa hata tu Kumsalimia kisha haraka sana Ukamtongoza na Kumuomba Namba yake ya Simu.

Dume zima kabisa Usiku mzima umelala na ama Mkeo au Mpenzi wako uwezo wako wa Kufanya nae Ngono ni Bao / Goli ama 1 au 2 tu badala ya Kumkandamiza Magoli kuanzia 5 hadi 7.

Dume zima unajitapa kuwa sijui Umesoma Chuo Kikuu lakini huna hata Lower Second Class au Upper Second au First Class na badala yake una Pass tu pekee halafu ukija hapa JamiiForums au ukikutana na Mademu Hoja zako zinakuwa ni za hovyo hovyo ( Kipumbavu ) tupu.


Dume zima unaenda Kumnunulia Mkeo / Demu wako Pedi Dukani badala ya kumpa Pesa akanunue Mwenyewe.

Badilikeni bhana!
 
Utakuwaa unasumbuliwa na KIFADURO wewe ukiponaa utashangaaa ulichokiandikaa
 
Write your reply...Dume zima unaandika mwandiko wa kike.

Najua point # 5 hapo itakuwa inakuhusu kwa 100% kabisa na ndiyo maana umekasirika. Pole sana Kiongozi pambana tu na hali yako utaweza tu Siku moja.
 
Najua point # 5 hapo itakuwa inakuhusu kwa 100% kabisa na ndiyo maana umekasirika. Pole sana Kiongozi pambana tu na hali yako utaweza tu Siku moja.
Kijana genta kwa uzi huu inabidi tukuangalie kwa jicho la tatu. huenda ukawa sio riziki.
 
Back
Top Bottom