1. Ukimuongelesha tu anawahi kukukasirikia tena anakimbilia kusema muachane
2. Kuwa na marafiki wengi wa kiume, ukiona kwako wanaletwa wageni wa kiume ujue unaibiwa peupe.
3. Wanapenda vitu vya...
Kuna kitu kinaitwa nguvu ya mvuto, lakini pia huenda mmeshawahi kusikia au kusoma kitabu kinachoitwa The Secret. Ni kitabu kizuri sana kinachoeleza kwa kirefu na kwa lugha nyepesi inayoeleweka...
Wanawake mnahusika kujibu kama nanyie mnatuonaga twavutia baada ya kutemwa yaani mnapotuacha tunazidiga kupendeza? au ni sisi tu vibeberu.
Tuelezee kidogo ulijisikaje, au unajisikiaje...
Mpendwa bila shaka umeamka salama.
Leo naomba nikukumbushe somo la Afya ya uzazi. Somo hili litafafanua faida na hasara au madhara yatokanayo na uvaaji wa nguo za ndani hasa Chupi.
Uvaaji wa...
Jamaa yangu alichukua demu wana kama miaka miwili sasa.
Kumbe demu kaungua na alikuwa tayari kwenye tiba ila alimficha jamaa yangu asijue.
Sasa wote wawili ni waathirika.
Lakini naamini yote ni...
Wana dharau sana hawajui kusalimia mtu. Na ukiona kakusalimia jiandae basi kuombwa msaada. Ni lazima ama kapotea anataka umwelekeze au kakwama nauli anataka umesaidie...
Mi huwa nawatazama kwa...
Dada zangu mambo??
Leo nipo idle tu sina campan hapa afu nataman sana niwe na mrembo wa kupiga nae story hapa kwangu, sasa daah yoyote atakae fill kuja tupige story mpaka mida flan ya mishale...
Kama hamtabadilika mtaishia kupata frustrations enyi wanaume ambao hamuendi na wakati. Maana kila siku mtakimbiwa na wake
Kazi za kupika, kufua nguo, kudeki nyumba/choo, kuosha watoto na...
Hivi ni Kwann wanafunzi wa chuo haswa wasichana ni watu ambao mapenzi yanawasumbua Sana kila siku wao wanalizwa tu wao Bora hata walioishia sekondary Wana afadhali?
Sina nia ya kumkwaza, kumkera au kumkejeli mtu yeyote. Sina mamlaka ya kuwa na maoni kwenye maisha binafsi ya mtu yeyote. Sina kibali cha kua mshauri wa maswala binafsi ya watu, na wala opinions...
Masela mpo? Vaa suti yako piga pasi inyooke fresh simamisha demu yoyote uone kama ataruka haruki, cm yangu imejaa no za watoto wa ifm wengine nshawasahau sasa najiuliza kwamba suti zinawaogopesha...
Wakuu habariiii.., Nipende tu kuwafaamisha kwamba haipiti siku bila kumtizama huyu bi dada huko istagram shepu lake na huo msambwanda hapo nyuma daaah ananikosha mno jamani
@cherokee d ass
Kwanza ngono,halafu mapenzi.wachache kati ya ninaowajua wameanzia kwenye ngono kwanza baada ya kunogewa ndio wakaamua kua katika mahusiano
Yana muda mfupi sana,watu wanaachana fasta tu na...
Habari wakuu!!
Wanawake wote mkifanya hv! Sisi wanaume hatutachepuka hata siku moja!!
Mwanamke!! Ukitaka mwanaume wako asichepuke! Basi fanya hayaa
1. Usijisahau! Sio baada ya kuolewaaa...
Wakuu
Je, kuna tofauti yoyote kitabia na mwenendo kwa mtoto aliyelelewa na mzazi mmoja na yule aliyelelewa na wazazi wote wawili?
Km ipo ni ipi.
Karibuni.
Mimi ni Kijana mchapakazi, mjasiriamali aliyeenda shule ya kutosha na mwenye mtazamo chanya kimaisha. Nahitaji mchumba wa kweli mwenye shahada ya sheria (Advocate). Aliyeko tayari ani PM tutawasiliana
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.