kindikinyer leborosier
JF-Expert Member
- Jan 6, 2018
- 497
- 951
wakuu habari..
.
.
huu ukwaju uloletwa mjin umekuwa unaliwa kivingine kimitego na hawa waliozungumza ana kwa ana na shetani pale bustanini!
.
tazama wanavyoulamba utashangaa mara waunyonye huku wanakutazama usoni.
.
.
ukiwa unaongea nae unaona kabisa kichwa chake hakipo na wewe kipo mbali sana. unaona kabisa kuna kitu anakiwaza..