Kwanini baada ya mwanamke kumkubalia mwanaume haya mambo hutokea?

comrade_kipepe

JF-Expert Member
Joined
Jun 25, 2019
Posts
8,402
Reaction score
17,129
Hii imekaaje?? Ukishamtongoza mwanamke akakubali haya mambo hutokea?!, au ndio registration fee?!:-

LUKU ya mwanamke huisha fastaa
Jiko la Gas huisha fasta

Pesa ya nauli akamsalimie mama mdogo anaumwa

Baada ya kukukubalia tuu kodi ya mwanamke ndio inakuwa imefikia wakati wa kulipa

Simu ya mwanamke huharibika na kuhitajika mpya

Ndio maana ule Uzi wa Chaputa una vijana wengi kwa sababu ya hii kitu.
 
Dogo tafuta pesa wanawake wa bure hawapo dunia hii
 
Back
Top Bottom