Hivi kumbe kupata kazi kwenye mashirika ya dini mpaka connection?

Nebuchadinezzer

JF-Expert Member
Oct 1, 2018
1,403
2,545
Ndugu zangu,
Kama mjuavyo siku hizi tatizo la ajira hasa kwa wahitimu wa vyuo vya kati na vyuo vikuu limekua kubwa sana. Ila kinachonishangaza, tunaambiwa kwamba soko la ajira lina ushindani mkubwa lakini nilichogundua hivi karibuni bila kumjua mtu ata kama uwe na uwezo kiasi gani huwezi kuajiriwa labda itokee kama ajali.

Kinachonishangaza zaidi hadi taasisi za dini zinaubaguzi katika ajira. Kina jamaa yangu amemaliza versity SIO chuo tu yaan kamaliza UDSM na ana GPA ya 4.3 lakini cha ajabu mpaka muda huu naandika huu uzi yupo anafanya kazi za nyumbani kwao kama kukata kuni, kutumwa huku na kule; kununua vocha nk. Lakini kina rafiki yangu mmoja...mama take anafanya kazi taasisi moja hivi ya dini( sitaki kuhitaja kuepusha udini) yule dada hata kabla ya kumaliza chuo nafasi yake ilikuwa wazi. Yaani walikuwa wanampigia hadi simu unamaliza Lin? Aisee this is not fair kwa kweli.

Mbaya zaidi, dini zinatufundisha usawa kwa watu wote. Cha ajabu hata waumini wasiojua watu hawapewi hizo nafasi ukiachilia mbali wa-mataifa.
Siku hizi bila connection hupati kitu. Viongozi wa taasisi za dini badilikeni!!!

ASANTENI
 
Naona watu wanashindana gpa uko jukwaa la elimu na gpa zao za 4 ila wenye gpa za 2.5 ndo wanapata ajira kwa connection tena bila tatzo lolote
 
Siku izi ad motoni kama huna connection unaeza jikuta upo mbinguni, connection ni muhimu kwa zama hizi za kukonektiwa, be connected
 
Back
Top Bottom