Mke wa kaka sehemu ya 51

MoonBoy

Senior Member
Jul 15, 2016
195
133
MKE WA KAKA

Sehemu Ya 51

Mtunzi..... MoonBoy

Simu No. +255714419487 WhatsApp

Ilipoishia Jana →↓↓↓↓←

"chidi, njoo boy wangu mie naumia"
"usijali,.. Ila we wataka vingapi leo"
"leo, nataka wewe ndio uchoke, leo nitakaza"
"mamy"
"abeee"
"umevaa chup* rangi gani jamani"
"nimevaa blue bahari"
"kubwa au ndogo"
"weeeee, hee unaweza kutengeneza zakwako mbili"
"hehehehehehehehehe, una vituko mamy"
"unanicheka eee? si ndio chidi"
"wala ata nimefrai tu mamy wangu"
"njooo basiiiiiiii"
"we si umesema unakuja kwangu, na nikupe nusu saa"
"oooohhh ok... Nimeelewa nipe nusu saa"
"ok... Poa"
"mchupi unakusubiri babaa uuvue mwenyewe kwa mikono yako"
"basi jamani mamy mpaka hamu iishe"
"mwaaahhhh boy wangu"
"ok nawe pia"

Chidi alikata simu, lakini alipomaliza kuongea na simu, kuna sauti alikuwa akiziskia nyuma yake,..
OooooHooooooo kumbe shemeji mtu alikua akijifia mwenyewe kwa yale maneno ya chumbani chumbani,... Yaani aumwe mwingi,.. Afu uharishe wewe, inahuu?? lakini kwa Shemela wa chidi ilimhusu,... Huezi amini shemeji mtu alikuwa hoi kwa yale maongezi ya wawili hao, na yeye alikuwa ni msikilizaji tu, lakini limempata... Na sasa amekuwa mchangiaji badala ya msikilizaji...
Sasa mawazo ya kijana chidi yakuwa tofauti kabisa,.. Kwasababu kila akisikiliza hio sauti anahisi inatokea kwenye TV, na tv hio ipo sebuleni, na sebuleni hapo yupo mdogo wake wa kike tena mdogo,
"yaani shemeji anaweka Chaneli ya kijinga mbele ya mdogo wangu??, haiwezekani"
Chidi alijisemea kimoyomoyo huku akigeuka kwa hasira ya hali ya juu....
PATAMU APO

SONGA NAYO...........

Katika hisia za kibinadamu katika mwili, ni tofauti na wanyama,.. Na pia hisia za mwanaume na mwanamke ni tofauti,.. Mwanaume ana hisia za karibu sana kuliko mwanamke, mwanaume hata akisikia miguno ni rahisi sana kuzipandisha hisia zake, lakini kwa mwanamke hisia zake zipo mbali sana kana kwamba mpaka zipande yahitaji kazi, lakini inashangaza sana kwa mke wa Ibrahim kusisimka kwa maneno yaliokuwa yakiongelewa baina ya chidi na jimama lake,..
Mana maneno waliokuwa wakiyaongea yalikuwa yakisisimua kweli, na hata mke wa Ibrahim alijikuta akisisimkwa kwa maneno hayo,

Sasa chidi ile kukata simu aliskia sauti za mapenzi haswaa miguno guno ya kimapenzi au kimahaba, kitu ambacho chidi aliwaza kuwa, ile sauti ilikuwa ikitoka kwenye tv, afu mbaya zaidi halima alikuwepo hapo sebuleni, kana kwamba shemeji huyo kafanya kusudi kuweka Chaneli mbaya,.. Chidi alishikwa na hasira kwa kitendo alichokifanya shemeji yake
"yaani shemeji anaweka Chaneli ya kijinga mbele ya mdogo wangu??, haiwezekani"
Chidi alijisemea kimoyomoyo huku akigeuka kwa hasira ya hali ya juu....
Sasa kugeuka alishangaa kuskia sauti hizo zikitoka mbele yake yaani zilikuwa zikimtoka shemeji yake, chidi alishtuka sana kitendo kilichomfanya jasmini nae aanze kujisikia aibu na kuangalia ukutani huku akiificha sura yake, chidi aliona hapa imeshakuwa tabu, chidi aliingia chumbani kwake na kuchukuwa viatu vyake kisha huyoo akaondoka zake wala hakutaka kumuaga mtu...
Alipofika nje huko akaanza kujiuliza
"uyu shemeji ana nini uyu, mbona alikuwa anatoa sauti za raha raha namna ile,... Ila sauti yake tamu"
Aliongea chidi huku akiwa kapanda tax kuelekea nyumbani kwake....

Tukija huku hotelini kwa akina Miriam ambako sarah ndipo alipokimbilia kwenda kwa rafiki yake,..
"heeee sarah jamani, leo umeamua kunitembelea eti ee"
Aliongea Miriam baada ya kumuona rafiki yake sarah akiwa ndio alikuwa akifika eneo hilo,
"we acha shost, yaani leo nina furaha isio na kifani, yaani sikiwahi kuwa na furaha kama leo miri"
"heeeee nini tena shost yangu"
"nakuambia, siku ya leo nimekutana na.. "
Sasa kabla sarah hajamaliza kuongea, Miriam akadakia
"umekutana na jambazi"
"bwana miri mi spendi umuite mpenzi wangu jambazi"
Sarah alikasirika ile kiutani utani,...
"ok basi yaishe shost, ila umekutana nae wapi"
"nilikutana nae stendi, alikuwa anatoka tanga kwao"
"heeeee ivi kumbe ni mtanga huyo"
"ndio, tena msambaa wa nguvu... Yaani leo kama sio ubize hakiyamungu vile angenibikiri"
"Enheeee we Sarah mwongo,.. We si ulikuwa una mpenzi wewe, sasa hio Bikira utoe wapi, au unataka umuibie huyo jambazi"
"miriiiiiii... Kwani yule niliokuwaga nae nilimpa??"
"sijui mie"
"weeeeee aguse hapa alinge, nilimpiga tareheeee mpaka akakata tamaa"
"mmmhhh sarah una dhambi we mwanamke"
"we mbona una bikra lakini sikuambii una dhambi"
"aahhh lakini mimi sijawahi kuwa na mpenzi, na wala sitani kuwa na mpenzi"
"heeee we miriiiiiii, kumbuka tumeletwa tuijaze dunia"
"akuuuuu wataijaza wenyewe ila sio mimi"
Miriam alikuwa hataki kusikia habari za wanaume, na yote hayo ni kwamba wana tabia fulani hivi wanaofanyaga toka wakiwa chuo,...
"ila miri, mi nipo tayari chidi anibikiri siku yeyote akitaka"
"utajuwa mwenyewe bwana, ila siku akikuibia ndio utajuwa kuwa ni jambazi"
"afu sasa hivi nitakuja kulala kwako"
Aliongea sarah huku akitabasamu kwa mbalimbali,
"kweli jamani sarah,... Na nilivyokumisi shost yangu"
"weeeeee ila staki tabia yako ile,.. Mimi nina mpenzi wangu sasa hivi sitaki tabia mbaya hio"
"lakini sarah, mi mwenzio si bado sijapata afu licha ya bado, yaani mimi sitaki mwanaume"
"sasa we miri jamani, we utaolewa na nani sasa,.. Au umekuwa mzungu muoane wenyewe kwa wenyewe... Hebu badilika shost,... Tafuta mwanaume, au nikutafutie nini"
"sarah, sarah, naomba tueshmiane sawa"
"sawa, ila hio tabia yako siitaki"
"utajiju, utake ustake, uje kwetu unifanyie masaji"
"siiiitaki,... Tena unikome mwenzangu, sasa hivi nina mpenzi tena anaamsha nye*** mpaka raha, heeee unalo bibie"
"sawaaaa,... Ila uje basi nyumbani"
"nitakuja, lakini sikufanyi kitu"
"sawa... Nitaacha lakini mpaka nipate mwanaume nimpendae"
Sarah na miriam waliongea mengi sana, marafiki wasiogombana marafiki wa muda mrefu, marafiki waliosoma pamoja, mama zao pia walikuwa hivyo hivyo kama jinsi ilivyo kwa watoto hawa, hivyo watachafuanaaaa lakini hawatoweza kutofautiana, japo maisha hubadilika lakini kwa hawa sidhani....

Tukija huku kwa mke wa Ibrahim, aliokuwa akimpigia simu mume wake,
"jamani mume wangu, mdogo wako kaondoka hata kuniaga hujaniaga"
Aliongea shemeji huyo, huku akilalamika sana,
"kaondoka kaenda wapi"
"mi sijui"
"lakini si nilikwambia umwambie awe anaishi hapo"
"mmhhh mi niliogopa bwana,... Hebu ongea nae awe anakaa na mdogo wake ampeleke shule... Afu pia nina wazo mume wangu"
"wazo gani tena mke wangu"
"kwanini chidi tusimtafutie chuo asome then uwe nae huko kazini"
"hilo ni wazo, zuri na nimelipenda, ila mdogo wangu alivyo kiburi, sijui kama atakubali"
"ongea nae, wewe ndio kaka mtu eti"
"sawa lakini inatakiwa tumuite tuwe nae kwa wote"
"ila... We ulisema alikuwa kijijini, sasa kama alikiwa kijijini je huku mjini atakuwa anaishi wapi"
"aahhh huyo atarudi, hana pakuishi katoka kijijini hana pakulala"
"sawa ila asipokuja itabidi uongee nae"
"sawa mke wangu"
Mke wa Ibrahim aliongea mengi na alifurahi sana baada ya kukubalowa na mumewe kuwa yupo tayari kuongea na mdogo wake
"uyu shem ni hensam mpaka raha yani"
Aliongea jasmini huku simu yake ikiwa inaita,...
"haloo sabra vipi"
"safi tu dada shikamoo marahaba, upo wapi"
"nipo Dar bado"
"sasa unakuja lini huku na wewe"
"bado bado, nipe wiki moja hivi"
"hhhhh haya, ila ujue unavoendelea kukaa hivyo ndio unazidi kujipumbaza kiakili, we njoo nikutafutie chuo mdogo wangu"
"sawa nitakuka wiki hizi hizi"

Tukija huku nyumbani kwa kijana chidi, akiwa kalala peke yake, ghafla anasikia muungulumo wa gari aina ya VX,.. Aliamka na kwenda kuchungulia huyo aliokuwa akiingia na gari, mana katika hilo boma hata magari yaliweza kuingia, chidi alipochungulia aliona ni VX ya mama sarah, chidi alimwona mama sarah kavalia gauni jepesi mno, yaani ni mtetemeko wa hali ya juu,... Tena ukiangalia kwa makini hata chup* unaweza kuiona,.. Chidi alirudi kitandani na kujitupa kwa furaha nzuri, mana kalimisi sana jimama lake....
Mama aliingia huku akiwa kubeba vyakula vingi dana mana anajua chidi huwa hapikagi kwa uvivu wake, yaani kile kigauni cha mama sarah kikipulizwa na upepo, kinakuwa kinanata kwenye mapaja hivyo unaona au hata kupima ukubwa wa paja la mama huyo,.. Mama ile kuingia tu, akatupa vyakula mezani na kumrukia chidi pale pale kitandani, kitendo kilichomfanya chidi kupata hisia za ghafla, mana kaguswa guswa na kifua cha mama sarah
"jamani chidi wangu nimekumisi hhhhh"
Mama alimrukia na denda huku chidi akilipokea denda hilo,... Chidi alianza kumminya minya mama huyo matiti pamoja na mkalio yake makubwaaa,... Mama sarah alianza kufumba macho kwa uvivu... Wakati huo kijana chidi alikuwa akilifunua lile gauni la mama sarah na kukutana na chupi kubwaa yenye rangi ya bluu bahari, tena ilikuwa nyepesiiiii, chidi alianza kuishambulia kwa kuishika shika, kitu kilichomwamsha hisia za mapenzi haraka, wakati huo mama sarah alikuwa akijikatikia kiuno bila kukatikiwa na mpenzi wake,... Chidi alilivua lile gauni la grace, kisha akambakiza na chupi tu, mama nae hajakubali kuabaki njiani, mama alimpambua chidi vikaragosi vyake vyote mpaka boksa,.. Mama alianza kuuchambua ule uzakaria wa chidi
"chidi mpenzi wangu, leo nataka unipe shkamoo peke yako bila hata kulazimishwa, yaani leo utanikoma na ndio utajua grace ni nani"
Mama aliongea hivyo, huku akiingiza zakaria ya chidi katika mdomo wake,.. Grace alichukuwa pipi ya lolpopo kisha akainyonyaa, afu akaanza kuipaka ile pipi katika zakari ya chidi,... Chidi alikuwa akijiskia mbinguni mbinguni hivi,.. Mama alipomaliza kuipakalia, aliisogelea tena, sasa nanii imekuwa tamu,... Zakaria ya chidi iligeuka kuwa lolpopu ghafla,. Maskini ya mungu chidi alikuwa akinyoosha tu vimguu vyake, na wakati huo grace alikuwa akiunyonya huku akimbinya binya vichuchu vyake,... Dakika tano mbele chidi alianza kuhangaika, alikuwa akikaribia kutoa wazungu waliojazana kiuno
"mama, shkamoo... Mama angu, basi inatosha mama haaaa mpaka nipizi kabla yako"
Chidi alikubali kumpa mama huyo shkamoo bila kupenda mana kitendo alichofanywa ni kizito mno...
"sitaki... Leo nataka nione nyeg** zako laivu laivu, mana kila siku kazi ni kunimwagia ndani tu, sasa leo nataka uniogeshe"
Aliongea mama sarah, Lakini sasa cha ajabu kumbe mama sarah ana maana yake juu ya mbegu za chidi anazotaka zitoke akiwa hajaingiza popote,... Sasa hapa alikuwa anakumbuka sauti ya mganga jinsi alivyokuwa anampa masharti mama huyo.....

"chukuwa hiki kikopo, hakikisha mbegu za kijana huyo unazijaza hapa, afu njoo nazo hapa zikiwa bado zamoto moto"
PATAMU APO

Je?... Mama Sarah anataka kumfanyia nini kijana chidi?..

USIKOSE.... Like nyingi ndio chanzo cha kuiwahisha

Itaendelea..... after Tomorrow

LIKE NYINGI ZITAFANYA MWENDELEZO UJE MAPEMA.....

ILI KUPATA MWENDELEZO WAKE, BOFYA HAPA CHINI,.. ILA USISAHAU KULIKE HIO PAGE, ILI USIPITWE NA UHONDO HUUU→→→↓↓↓

https://mobile.facebook.com/Chombezo-Media-571095712946246/?_e_pi_=7,PAGE_ID10,4608422023

USIKOSE HAPO KESHOKUTWA... MIDA KAMA HIII HAPA

tAfBoy (.. Tanzania's Frugal Boy..)
 

Attachments

  • 1475150761469.jpg
    1475150761469.jpg
    79.2 KB · Views: 409
Back
Top Bottom