Nilidhani Najua Style zote za kitandani kumbe....

princemikazo

JF-Expert Member
Jan 10, 2019
2,197
2,051
Bila salamu...Direct to the point(NB:Sitatumia Ngareroo slangs watu wanalalamika hawaelewi,So Shunie Am sorry coz unapenda Ngareroo slangs),Jana usiku nikiwa alone kama kelvin ghettoni nacheki movie ya Mtu mzima Tony Jaa na Washkaji zake kina Tiger Chen,Scott Adkins,Celina Jade,Michael Jai White,Michael Bisping,Iko Uwats na Jeeja Yanin inayoitwa Triple Threat.
Nikiwa naendelea na movie nilishtuka kusikia sauti za mahaba za mtoto wa kike akilalamika kwa utramu mixer kutaja majina ya Ndugu zake akiwemo Babu Sungura sijui!!
Mwanzo kwanza nilishangaa hii movie mbona inatoa Sauti zisizoendana na action?Yaani et Tony Jaa anapigana na kushushiana nzito na Scott Adkins(Boyka) alaf et naskia sauti ya"Oooh baby taratibuu...uu Babu Sunguraa..aa oooh shiiit"
Ikabidi niipige pause movie yangu ili niskie poa sauti zile adimu zinatokea wapi?
Kumbe zile sauti zilikua zinatoka upande wa pili wa eneo yaani chumba cha jirani yangu Doooh!!
Nikaendelea kusikiliza ile audio ya game ya kibingwa...Hee mala si nikaskia Chalii anamwambia demu wake et"My fanya kupanda dirishani alaf ufanye kuidondokea hivi"
Quumaaaa!!nikasema shubaamiti hii style vipi??ngoja nisikilize ntaona mengi!!
Bwana wee si nikaskia"Kachaaaaa!!!"bonge la mshindo,nikacheka kimoyomoyo then ikawa kimya kama dakika4 hivi ndo nikasikia jamaa anamwambia dem"Qumamayo wewe ms*nge ushaniua tayari oooh Mungu wangu yeeeh"
Dem nae akawa anamwambia jamaa"Nisamehe tu laaziz ila haujatoka damu ata,alaf haijavimba jamani"
Nilicheka kinyama then nika resume movie yangu.
Nikawaza nikawasumbue nikaenda kugonga hodi jamaa si likajibu alafu kwa maumivu uku linalia kwa kwikwi"Hawapo wamesafiriii"
Hahahaha!!
@ChaliiYaKijengeJuu.
 
Back
Top Bottom