Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Wakuu haya maisha unaweza pata kila (material things) na bado furaha usiipate. Mara nyingi huwa nacheka sana watu wanapopewa ushauri wa tafuta pesa baada ya kutendwa. Nikirudi nyuma katika wakati...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Umwambie mwanaume mwenzio; I MISS YOU au I LOVE YOU Inakuja kweli?!!!!!!!!
0 Reactions
27 Replies
4K Views
mwanamke ambaye ni rafiki tu wa kawaida mnapiga stori pamoja za hapa na pale, siku akakuletea tunda liitwalo apple akakupatia kwa niaba ya zawadi Ni nini anacho maanisha Tunda aina ya apple...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
AMANI katika uhusiano ni hitaji la kila mmoja. Kila mtu akiwa na mtu ampendaye, kumjali na kumpa kipaumbele ni kitu cha kawaida katika maisha yake. Ila vipi ukiwa na mtu unayempenda sana ila yeye...
19 Reactions
46 Replies
9K Views
Bro wangu mmoja amefunga ndoa juzi juzi tu lakini amezaa nnje na mabinti wawili kwa mpigo.Watoto wote wana mwaka mmoja sasa mmoja wa kiume na mwingine wakike.Mkewe anamjua mmoja tu wakasameheana...
3 Reactions
21 Replies
3K Views
Kuna siku marafiki tutatengana hatutaonana tena wala kuwasiliana.[emoji181] Wengine umri utakuwa umeenda[emoji803] sana wamekuwa wazee na wengine hawatakuwepo duniani. Tutakumbuka tulivyokuwa...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Hello jf member, naitwa Adamson,natafuta mke wa kuoa tunaanzia urafiki mpk kuoana,umri wangu Ni miaka,32,Mkristu, Mke anaye takiwa awe na umri miaka 26-30 mwenye hofu ya Mungu.Awe anaishi...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
Tukitaka mapenzi ya enzi za mama zetu ya rudi na hawa wanawake watupende na kuheshimu wanaume bila kujali ile zana ya 50_50 imewaathiri vipi, njia sahihi ni kwa wanaume wote kuadhimia kuto wapa...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Kwa mwanamke-Baada ya kuambiwa na madaktari kwamba huna uwezo wa kushika mimba,je ni afadhali aoe au azae na yupi kati ya hawa wawili house girl au ndugu yako? Kwa mwanaume-Baada ya kuambiwa huna...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Leo nimekumbuka mbali sana kipindi kilee cha mkwele(kikwete), Wanaume tulikuwa tunahonga kiasi cha wanawake kuwafanya wawe Viburi kwa apeche aloloo, mwanaume ilikuwa kama huna pesa basi huwezi...
5 Reactions
9 Replies
1K Views
Nina Mke na mtoto we wa kike. Jana nimetoka kucheki mpira wa Arsenal vs Watford . Narudi namkuta wife kashafunga mlango ananiambia rudi huko huko mbona unanijia usiku. Nikarudi zangu kulala kwa...
17 Reactions
267 Replies
22K Views
Mambo vipi wadau? Nliwamiss sana [emoji7] baada ya kula BAN la maana la mwezi mzima[emoji287] Mfano umeenda kukutana na mpenzi wako mpya ambaye ndo kwanza amekualika mkutane faragha na unahisi...
0 Reactions
63 Replies
7K Views
Mke wangu mjamzito anasumbua mashariti kibao sijui atajifungua lini mtoto wa kike au kiume sijui jinsia gani mungu ndo anajua kila kitu kilichobaki kumshukuru yeye mungu baba wa mbinguni mungu wa...
2 Reactions
23 Replies
3K Views
mke wangu mjamzito asa sitaki apate tabu kufanya kazi nimeona nimeongezee house girl wa pili asaidie kazi. sitaki mke wangu afanye kazi mwisho wa siku mimba ikaharibika ndo mana nimeweka...
6 Reactions
20 Replies
3K Views
habari za saizi wakuu kuna bidada mmoja anakaa mtaani kwetu amepanga nyumbani kwa mshikaji wangu anaishi kwao nyumba ya tatu kutoka ghetto na ni mgeni katokea kyela, bidada kaumbika hatari...
2 Reactions
53 Replies
4K Views
Mara nyingi Wadada wanaoomba pesa k.v elf 20, elf 10 mara kwa mara na siku chache baada ya kutongozwa na mwanaume, kabla hata ya kutoa papuchi, wanalalamikiwa sana na wanaume humu ndani.. Sasa...
1 Reactions
35 Replies
4K Views
Nimeskia Kuna kabila Fulani mjini Arusha Lina sifa ya kua na mabinti warembo Sana Mabinti hao wakitoka makwao kuja mjini Arusha wakifika mto wa mbu huwa wanavua chup ndani ya gari na kufungua vioo...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Mwanaume anaumizwa mara moja tu na mapenzi bhasii baada ya Hapo unakuwa mzoefu kuhusu huu upuuzi unaitwa Maumivu ya mapenzi. Ukiona unaumizwa na mapenzi zaidi ya mara moja bhasi una KASORO...
3 Reactions
12 Replies
2K Views
Utamkuta mdada wa watu anabetua domo lake huku amebana pua anaropoka "I need to marry a God fearing man" [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dada kuwa serious basi hata kidogo, unataka "God...
8 Reactions
72 Replies
8K Views
Jamii tunayoishi kwa asilimia kubwa inaamini uzazi wa mpango ni kwa ajili ya wanawake tu, kumekua na changamoto nyingi sana pale wanaume wanapoambiwa wao pia wanaweza tumia njia ya uzazi wa mpango...
0 Reactions
23 Replies
6K Views
Back
Top Bottom