APPLE

APPLE

George Barran

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2015
Posts
654
Reaction score
1,302
mwanamke ambaye ni rafiki tu wa kawaida mnapiga stori pamoja za hapa na pale, siku akakuletea tunda liitwalo apple akakupatia kwa niaba ya zawadi
Ni nini anacho maanisha
Tunda aina ya apple limebeba maana gani

Tujuzane.
 
mambo ya kukuza vitu haya

mtu kakuletea apple unataka uanze taka kujua maana yake

Angeleta PERA je ungekuja fungua thread humu?
 
Don't expect much utakuja kuwa dissapointed shaur yako

Halafu unatia aibu huyo demu ameku friend zoned
 
[emoji2][emoji2] hapan mkuu co nakuza vtu ili tunda ni adim kdgo uswailin sas had mtu anafkia hatua ya kufklia kukuletea kitu kam iki dzain kam alithink more than once!
mambo ya kukuza vitu haya

mtu kakuletea apple unataka uanze taka kujua maana yake

Angeleta PERA je ungekuja fungua thread humu?
 
Ukiweza kulimeza ww utakuwa ni mwanaume wa kweli ukishindwa ujue anakuona mwanamke mwenzake
 
Back
Top Bottom